Elections 2015 Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2015: Ajenda ya UFISADI ni Kama IMEFIA kwa Magufuli na kuzikwa Kwa Lowassa

CCM waliuasisi UFISADI miaka yote sasa wanapowaambia wanasema maovu yao.Huwezi kuzungumzia CCM bila kutaja UFISADI

waliouasisi ndo hao hao wanaogombea sasa wanapaswa waeleze watafanyaje na mfumo waliouasisi na siyo kuziba masikio.
 
Ufisadi mtu wa Kijijini huko anaujua ni nini? We ahidi nitatoa umaskini,nitawajengea nyumba ndo utaeleweka.Agenda ya ufisadi inaeleweka na werevu wachache watu wengi hawajui ufisadi ni nini.Ni bora kuwa na agenda zinazoeleweka
 
ndo wale wanaoamini mabomba yatatoa maziwa kumbe!
 
ndo wale wanaoamini mabomba yatatoa maziwa kumbe!
Wasomi wengi wanafeli kwenye siasa na huwa wanashindwa na watu wa darasa la saba kwa sababu ya kujiona wanajua na wanatoa facts,kumbe wapiga kura wanataka swaga za bomba litatoa maji na maziwa.
 
Baada ya Edward Lowassa kusifiwa na rais Magufuli kuwa ni Superman, namdurufu kidogo Lowassa kwa kujikumbusha niliwahi kusema nini kuhusu mtu huyu.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…