Msingida
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,239
- 11,731
Kupunguza ujinga kwa raia wakeSiri ya Serikali na Walimu ni ipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupunguza ujinga kwa raia wakeSiri ya Serikali na Walimu ni ipi?
Hao na watendaji wa vijiji ndio hufanikisha wizi wa kura. Acha waanze kujibebisha wakati huu.Siku za hivi karibuni kumekuwa na matamko mengi sana kutoka Kwa viongozi wa Serikali wakiji bebisha Kwa Walimu.
Tamko la hivi punde ni la Waziri Mchengerwa akidai kwamba Walimu ni watu muhimu sana Kwa Taifa hivyo hatokubali wachezewe.
Inaelekea Walimu Huwa Wana play vital role kwenye uchaguzi kuliko Watumishi wengine ndio maana Serikali inajibebisha kwao.kwa Kauli na matendo.
-Imepiga marufuku kuwatoa Walimu kwenye kamati za Ujenzi na kutaka walimu ndio wasimamie ujenzi wa miradi kwenye maeneo Yao.
-Imeahidi Kuajiri zaidi ya walimu 13,000
-Imeahidi kuwapandishia madaraja wote na wengine wameshapandishwa
-Imeahidi Kuwajengea nyumba Kwa Kasi zaidi kuanzia mwaka wa 2024/2024.
Hapo awali ujenzi unafanyika ila sio Kwa speed ya mwakani maana Rais mwenyewe aliwapigia simu eti kuwasalimie wakiwa kwenye kongamano lao.
View attachment 2866067
Swali: Je, Walimu ndio Watumishi pekee muhimu Kwa Serikali kushinda Maaskari,Manesi,Watendaji wa Vijiji/Mitaa na Wenyeviti wa Vitongoji kwenye harakati za ushindi wa Chama mwaka 2025?
mie naona si walimu tu hata WAKULIMA madaktari na actually waTanzania wote tu 🐒Siku za hivi karibuni kumekuwa na matamko mengi sana kutoka Kwa viongozi wa Serikali wakiji bebisha Kwa Walimu.
Tamko la hivi punde ni la Waziri Mchengerwa akidai kwamba Walimu ni watu muhimu sana Kwa Taifa hivyo hatokubali wachezewe.
Inaelekea Walimu Huwa Wana play vital role kwenye uchaguzi kuliko Watumishi wengine ndio maana Serikali inajibebisha kwao.kwa Kauli na matendo.
-Imepiga marufuku kuwatoa Walimu kwenye kamati za Ujenzi na kutaka walimu ndio wasimamie ujenzi wa miradi kwenye maeneo Yao.
-Imeahidi Kuajiri zaidi ya walimu 13,000
-Imeahidi kuwapandishia madaraja wote na wengine wameshapandishwa
-Imeahidi Kuwajengea nyumba Kwa Kasi zaidi kuanzia mwaka wa 2024/2024.
Hapo awali ujenzi unafanyika ila sio Kwa speed ya mwakani maana Rais mwenyewe aliwapigia simu eti kuwasalimie wakiwa kwenye kongamano lao.
View attachment 2866067
Swali: Je, Walimu ndio Watumishi pekee muhimu Kwa Serikali kushinda Maaskari,Manesi,Watendaji wa Vijiji/Mitaa na Wenyeviti wa Vitongoji kwenye harakati za ushindi wa Chama mwaka 2025?
Sasa hivi kuna mchakato wa kuanzisha Tume Huru ya Uchaguzi. Badala ya kulalamika tu! Tupaze sauti zetu kuhakikisha hiyo tume inakuwa huru kweli.Ni moja wapo wa kikosi cha waiba kura kwa ajili ya uchaguzi wa 2024 na 2025