Selous
JF-Expert Member
- Jan 13, 2008
- 1,325
- 145
Kuna vijana kadhaa ndani ya CHADEMA walikuwa wamekomalia kuhakikisha Zitto haendi mbele, imenisikitisha sana. .
Yeye kasema hao hao ndo wamemtuma. sasa tushike lipi?
Kuna mifano kadhaa ambayo Zitto ameyumbisha sis washabiki, nafikiri unayajua vizuri. Siasa na Watz nafikiri unawajua. Mimi nipo huku kijijini not sure where are you but majority of Tanzanians ambao wamemsikia na wamechoka. Bora Mbowe kuliko Zitto ila wanaomsukuma Zitto wanasababu zao ambazo mimi na wewe might not lakini sio kumkomboa mtz kama wanavyohisi. # 1 wapo smart kwa hili ndo maana wanatumia sana mashushu kupata taarifa na kuelekeza maamuzi.Na tuna nakala ya kila kilichoongeleka katika kikao cha jioni ya leo, baada ya kusikiliza mara kadhaa nimejikuta nakosa imani KABISA! Lakini, muda bado unaruhusu.... Mruhusuni Zitto agombee nafasi ya uenyekiti, acha unyanyasaji kwa kisingizio cha ujana!
Chadema is Slaa, Zitto and Mbowe. list hii inaenda huku ikipungua. Ina maana Slaa ni nguzo muhimu kuliko Zitto na Mbowe. Can you see kuwa bado chama ni kichanga? Hivi ikitokea kura ni 49/51, na aina ya watz tulio nao huoni kama ni tatizo mkuu?Yawezekana kugombea kwake kama angeshindwa kungesababisha 'Anguko lake' ambalo nadhani si 'Anguko la CHADEMA' kama ilivyokwishatabiriwa... Niwahakikishie kuwa kwa kumlazimisha aondoe jina ni kupelekea Anguko la CHADEMA.
Bora wote waondoke but kama Zitto kachomoa bora zaidi. I was not happy seeing Zitto kuwa Chair maana bado vision yake inahitajika. # 1 wamemjua wanataka lao jambo. Mambo yale yale ya "CHAGUO LA MUNGU".