Zitto
Former MP Kigoma Urban
- Mar 2, 2007
- 1,562
- 10,888
Ni imani yangu kuwa chama kitakuwa kimoja baada ya uchaguzi. Kimaumbile sina grudges. Tutapiga mstari na kusahau yaliyopita ili kuanza upya.lakini mkuu zitto vipi mtaondoa ukiritimba wa chama kimoja ndani ya bunge ili hali mnatukosesha usingizi tunawaza inakuwaje? au mmekoseana nini mpaka mnatupa pressure?? ah.... mnakera sana watu tumekuwa na matumaini leo hii ndo tunaambulia kashfa tu mitaani kwetu.....zitto niambie sisi tutajificha wapi dhidi ya kejeli za CCM mtaani kwetu..???