Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Chama cha ACT-Wazalendo chapokea 21 waliokuwa Wabunge wa CUF

Many of them are muslim, I like zitto strategy. Kama kazi ameifanya namtabiria makubwa sana huko mbele.Chadema wamelala sana nadhani wameridhika na wamekata tamaa. Wanaonekana kwa macho na kwa matendo. Ile amsha amsha imepotea,Wana mapungufu makubwa kwenye mfumo wa branding na online promo, wanategemea mtu mmoja mmoja,Mnyika ni mzito mitandaoni na nje ya mitandao hana hamsha hamsha yeyote katibu wa makaratasi. Wanapaswa kuamka, safari bado sana ni mapema kugive up mpaka wawashawishi asilimia hata 70 ya watanzania.

CCM wameweza, wamebebwa na kiongozi wao otherwise ni chaaaliii.
 
Juzi tu Zitto alikuwa analilia lockdown kupunguza misongamano ili kujikinga na Corona, leo hii awekusanya watu kiasi hicho. Kweli mwanasiasa si wa kumsikiliza

Atakuwa amewaamini waliomhakikishia Corona kwishney.
 
Siasa za nchi hii zimekosa mwelekeo kabisa kupokea wanachama wapya linageuka kuwa tukio la kitaifa na la kutangazia dunia.

Dah hapa ndipo tulipofika
Kweli aisee....Hawa ni Wazenj wamemfuata kingunge wao Maalim. Hakuna jipya hapa !!!

Na Zitto asipokuwa makini ACT Wazalendo nayo itakuwa na sura ya udini tu kama ilivyokuwa CUF
 
Hawa itakuwa walikuwa kafu,,haongereni sana
 
Tatizo ubinafsi. Nani aachie madaraka? Nani ale pesa za ruzuku?
 
Ninachoweza kusema kwa sasa ni kumpongeza Zitto Zuberi Kabwe kwa kuweza kukijenga Chama chake ndani ya muda mfupi (<5). Zitto ameanya kazi iliyomshinda James Mbatia kwa miaka 20 (2000--2020) tangu amekuwa mwenyekiti wa chama chake cha NCCR-Mageuzi.
 
Viongozi wote, wabunge na madiwani ni WAISLAMU, imetokea tu ama mmepanga, je mmewaza picha inayojengeka?
 
Kweli aisee....Hawa ni Wazenj wamemfuata kingunge wao Maalim. Hakuna jipya hapa !!!

Na Zitto asipokuwa makini ACT Wazalendo nayo itakuwa na sura ya udini tu kama ilivyokuwa CUF
Siasa za namna hii zinajengwa katika ushabiki na ufuasi bila kuzingatia itikadi na falsafa ya chama.
 
Mungu ibariki ACT WAZALENDO
 
Kweli aisee....Hawa ni Wazenj wamemfuata kingunge wao Maalim. Hakuna jipya hapa !!!

Na Zitto asipokuwa makini ACT Wazalendo nayo itakuwa na sura ya udini tu kama ilivyokuwa CUF

Kwann tunaanza kuwapa kofia ya udini, mbona Chadema haisemwi kwa wakristo walivyotamalaki mule!??
Hebu angalia safu ya uongozi ya Chadema afu tazama ktk jicho lako la udini kisha urudi na comments yako!!
Au nchi hii waislamu ni kosa kuonekana ktk mambo ya siasa!????

Acha mawazo ya kipuuzi na kushindwa kung'amua mambo kwa weledi
 
Ninachoweza kusema kwa sasa ni kumpongeza Zitto Zuberi Kabwe kwa kuweza kukijenga Chama chake ndani ya muda mfupi (QUOTE]Mbatia kaamua kujifunika kwenye makwapa ya ccm akiwa ameaminishwa kupewa wabunge 20 mjinga sana nadhani hawajui vzr ccm
 
kichwa cha habari wabunge 21, kwenye habari yenyewe 20, au mimi ndio sijaelewa.?
 
Juzi tu Zitto alikuwa analilia lockdown kupunguza misongamano ili kujikinga na Corona, leo hii awekusanya watu kiasi hicho. Kweli mwanasiasa si wa kumsikiliza
Ndio wanasiasa wetu walivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…