Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Chama cha ACT-Wazalendo chapokea 21 waliokuwa Wabunge wa CUF

Mkuu unataka kusema hiyo sheria imepita kabla ya wale wabunge waliotoka Chadema na kupitishwa tena ccm? au unamaanisha wabunge walioama kutoka CUF kwenda ACT Wazalendo wameshachukua fomu tayari ilhali ndo wanatambulishwa leo.

Je wale wabunge waliotoka Chadema na kwenda Ccm hawakujua hii sheria?
 
Weledi ndio huo wa kusema ukweli hii ACT ni CUF ingine tena.

Full udini!
 
Kwamba Zito yupo smart zaidi ya Mzee Mbowe? kwamba Zito ndo angekua M/kiti wa Chadema nafasi ya Mbowe unaddhani chama kingebaki hai mpaka leo?

Inawezekana pia ujahusika wala kupiga stori na watu waliopewa kazi ya kukiujumu Chadema kazi wanayopata kutoka kwa Mh Mbowe. Jiulize kwanini Bungeni anaweza kurushiwa maneno na matusi zaidi ya 100 Bungeni ila akinyanyuka hajibu ata moja. Magu mwenyewe anajibu adi sms ya mtoto wa darasa la tatu na hasira juu.

Mh Mbowe ni mwanasiasa aliyetimia na yupo kwenye level ya akina RAO .
 
Walitakiwa wabadili dini ndio wahame?
ucha unaa na uswahili uliopitiliza, ndio maana ulifeli form four, mimi nimeuliza swali umetoka zako chooni hata hujachamba unakuja kudakia tu hapa,? kama huelewi piga kimya mamaa, sawa?
 
Zitto anaakili sana ameshatengeneza siasa.
Alicheza karata vyema kumpata Maalim.
Kila la kheri ila ACT ila msije tibuana ruzuku ikija.
 
ucha unaa na uswahili uliopitiliza, ndio maana ulifeli form four, mimi nimeuliza swali umetoka zako chooni hata hujachamba unakuja kudakia tu hapa,? kama huelewi piga kimya mamaa, sawa?
Waliofeli form 4 ndio walio ajiriwa kutukana watu kwamalipo ya buku 7.

Ni very simple kumjua aliefeli form 4
 
vyama vya upinzani huwa vinakuwa na mapungufu yanayowagharimu mara kwa mara.

Maswala ya Udini na ukabila wao wanayapa kipaumbele mno.

kujenga vyama katika misingi hiyo ni kutengeneza jamii inayotambuana kwa misingi hiyo.
Udini ndio utakimaliza Act-wazalemdo kinaonekana chama kinacjoegemea mrengo fulani hivi wa kidini wakati Taifa lina watu wa kila namna
 
Mbona haukuuuliza wakati JK alipokuwa Rais, Shein akiwa Rais, Bilal Makamu wa Rais, IGP Mwema, nk mbona haukuuliza hili swali? Hawa Wasukuma wanaoteuliza kila hapa Tanzania hauwaoni?
Viongozi wote, wabunge na madiwani ni WAISLAMU, imetokea tu ama mmepanga, je mmewaza picha inayojengeka?
 
Story ya Ufipani sasa hahaha
Uganga wa kienyeji mwingiii

Story; Nilikisoma kitabu kilichoandikwa na Dean Koontz - The eyes of Darkness kilichoandikwa mwaka 1981 kikieleza juu ya ugonjwa wa CORONA kutokue Wuhan China na kusambaa dunia nzima. Kweli sikuamini na kusema kama usemavyo- Story za kijiweni.

Leo nakuomba uhifadhi maneno yangu na tukutane Novemba 1 2020.
 
Pole pole Ostaadh.

Hakuna haja ya kupaniki kwa jambo rahisi na lililo wazi kama hili.
 
Ni wasaliti tu, hivyo ndivyo ninavyo waona mimi. Nimegundua kwamba cuf ilipo sambaratika wengi walibaki kwa kulinda maslahi yao si kwa mapenzi ya chama. Sasa hivi bunge limevunjwa na wameshaona dalili za wazi kwamba cuf imeshakufa na wao kupata nafasi za kurudi bungeni kwa kupitia cuf haiwezekani, ndio wameamua kwenda act-wazalendo ili kutafuta kura za kuwarudisha bungeni. Na kwa mtindo huu hata huko act-wazalendo wamefata maslahi yao binafsi si sera wala mapenzi ya chama.
 
vyama vya upinzani huwa vinakuwa na mapungufu yanayowagharimu mara kwa mara.

Maswala ya Udini na ukabila wao wanayapa kipaumbele mno.

kujenga vyama katika misingi hiyo ni kutengeneza jamii inayotambuana kwa misingi hiyo.

Stroke nadhani umepooza kama jina lako linavyoonesha. nadhani umepata sever stroke hasa ya kutumia akili. Ivyo unafikii znz ungetarajia watoke akina john, patrick, jackson, peter kuwa wabunge au wawakilishi? we are 99% muslims. Hakika. sasa unaposema kuwa ACT ni wadini jitafakari. Rudi darasani dada.
 
Niinavyofahamu sheria hiyo mpya ilisainiwa mara baada ya Maalumu Sefu na wenzake kuhamia ACT , hivyo wale wote waliohama vyama vyao baada ya hapo wanabanwa na hiyo sheria ikiwemo hao wabunge waliohama mwaka huu (NB: Maalim yeye aliiwahi hivyo haimbani).
 


ACT haiguswi. Huo mswada wa sheria ulitupwa dustbin, pale Zitto na Maalim walipopiga kelele. Hata Tamko la Msajili kukifuta chama cha ACT ulipotelea kuzimu baada ya Zitto kusema usitujaribu. Acheni tu, ACT inatisha!!!!

Hivyo ni Ruksa hata ukihamia jana leo kugombea urais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…