Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Chama cha ACT-Wazalendo chapokea 21 waliokuwa Wabunge wa CUF

Hongera ACT Wazalendo, lakini bado Watanzania tunasubiria Mwanachama wa Kadi namba 2 .
 
Tungewaona wanaume kama wangejiondoa mapema bungeni na si hadi wasubiri Bunge livunjwe ,hawa watu wa Pemba vipi kwani jipya ni lipi sababu wao wanamfuata Maalimu na sio ACT.
 
Pole pole Ostaadh.

Hakuna haja ya kupaniki kwa jambo rahisi na lililo wazi kama hili.

Jibu swali boss,
Weka safu ya uongozi wa Chadema kisha chambua ktk jicho lako la udini uone kama utakibakisha salama!!!
 
Ni vyema ukawaauliza wanasheria wako kuhusu hiyo sheria na kana sio wanafiki watakueleza ukweli. Huo muswada ulipitishwa na Bunge na ukasainiwa kuwa sheria.
 
Shukrani kwa WABUNGE wote 21 kutoka ZNZ kwa SUBRA na UVUMILIVU wakubaki CUF. Wanaouwezo wanaelewa mmebaki ili KUWAFUNGA CCM wasiweze kubadilisha Katiba kumpa Magufuli urais wa MILELE. Bila ya nyi PLAN ya Job Ndugai isingekuwa NDOTO yake kwa Bunge lijayo!


Chanzo:Fatma Karume on twitter
 
Ndugai sio mjinga, kusema Ndugai ni mjinga tu ni kama bado unamfanya aonekane kama ana ka-akili walau kidogo wakati sio kweli.

Mtafutieni Ndugai jina zuri na sahihi kumpa mtu aliyeamua kulichuuza bunge na kuamua kuanguka chini na kulamba miguu ya mwanamume mwenzake ili tu aendelee ku-enjoy madaraka ya kidunia.

Ndugai's tale is a reminiscent of a slave Jimmy Roggers singing his master's voice. Ndugai ni bure ni hakuna mfano.
 
Ni vyema ukawaauliza wanasheria wako kuhusu hiyo sheria na kana sio wanafiki watakueleza ukweli. Huo muswada ulipitishwa na Bunge na ukasainiwa kuwa sheria.

Kama hiyo sheria imepita, Naibu waziri MWITA atasemaje atagombea ubunge wakati hana miaka miwili toka ahamie CCM.

Nipe chanzo chako kitachohakikisha kupitishwa kwa sheria hiyo. Hata ukipata toka radio mbao au hapa JF nitaukubali. Mi nakuhakikishia hicho chanzo hutakipata hata siku moja.

Na kama mimi huniamini, subiri muda wa kuchukua fomu utapoisha utakuta wahamiaji wote wenye nia ya kugombea watachukua fomu na kuruhusiwa kugombea.
 
Sikumbuki tarehe exactly ila ninachokumbuka mara baada ya Maalim na wenzake kujiunga ACT ndipo hiyo sheria ilisainiwa. Hivyo sheria yenyewe haijatimiza niaka miwili. Sasa yeyote aliehama kabla ya sheria akiwemo huyo uliyemtaja anaruhusiwa kugombea kigezo sio kuwa hawajatimiza miaka miwili bali walihama kabla ya sheria. Hawa wote waliohama juzi juzi hapa sheria inawabana.
 


Kwa hiyo Maalim, Jussa, Duni na kikundi chote kilichohama wakati Maalim anahama wanaruhusiwa kugombea! Maana umesema; "Sikumbuki tarehe exactly ila ninachokumbuka mara baada ya Maalim na wenzake kujiunga ACT ndipo hiyo sheria ilisainiwa".
 
Kwa hiyo Maalim, Jussa, Duni na kikundi chote kilichohama wakati Maalim anahama wanaruhusiwa kugombea! Maana umesema; "Sikumbuki tarehe exactly ila ninachokumbuka mara baada ya Maalim na wenzake kujiunga ACT ndipo hiyo sheria ilisainiwa".
Ndio
 
Mzee Lipumba umetuulia chama chetu we mzee, Mungu anakuona !!
 


Jaji Mutungi: Sheria haimzuii aliyehama chama kugombea ...
www.mwananchi.co.tz › kitaifa

www.mwananchi.co.tz › kitaifa
5 apr. 2019 - Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Mutungi amesema sheria ya marekebisho ya ...

Itafute hiyo sheria na isome vizuri, utapata mengi. Soma vipengele vyake.
 
Sheria iko wazi haihitaji maelezo. Hiyo sheris ni kwa ajili ya urais, ubunge, na udiwani haihusu ujumbe wa baraza la uwakilishi. Kama utakumbuka kulikuwa na mpango kama huo kwa mjumbe wa baraza la wawakilishi ambaye alipanga kuwasilisha muswada kwa upande wa ZAnzibar lakini ACT Zanzibar walilalamika sana. Baadae huyo mjumbe alikiri kuwa na huo mpango, lakini hakufanikiwa kuuwasilisha katika Baraza. Tafuta hiyo sheria wewe mwenyewe uisome ili uone kama haina hicho kipengele au la.
 

Upo vizuri na nakupa salute.

Hata hivyo mambo haya ya sheria yanamkanganyiko. Hapa namnukuu Jaji mtungi akisema:
Kwa ufupi
"Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Mutungi amesema sheria ya marekebisho ya sheria ya Vyama Siasa ya mwaka 2019 imeanza kutumika rasmi huku akiwataka wananchi kupuuzia taarifa zinazosambazwa kwamba mwanachama akihamia chama kingine ni lazima akae miaka miwili ili agombee." Habari imeandikwa na Bakari Kiango, Mwananchi bkiango@mwananchi.co.tz, April 6 2019.

Hapa napata kigugumizi. Ngoja niende kwenye Jarida la serikali zilipochapishwa hivi vifungu vya marekebisho.
 
Kabla ya Bunge kuahirishwa kuna Mhe. Mbunge ambaye aliwaaminisha wengine kuwa chama chake kitakuwa chama kikuu cha upinzani, alisisitiza kuwa ameshapata connection kila kitu kitakaa sawa, wabunge kadhaa wakajiunga na chama chake ajabu walio jiunga hatuwasikii kwenye majimbo yao wakifanya kampeni, au anayewaona wakifanya kampeni atujuze na muitikio wa wananchi ukoje.

Je ni sahihi kujitangazia ushindi kabla hujaanza mchezo?

EH MUNGU IBARIKI NA UIPONYE TANZANIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…