Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mtazamo wangu

Nchi Kavu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2010
Posts
4,290
Reaction score
2,468
Watu wanasema kuwa CHADEMA msirudie kosa kama kipindi kile cha Lowasa. Inawezekana kweli ikawa ni kamchezo kanachezwa tena na CCM lakini lolote laweza kutokea. Upepo hubadilikia hewani.

Mtazamo wangu ni kuwa, kwa kuwa Magufuli hiki ni kipindi chake cha pili anachotaka kuwania sasa, ni wakati mzuri sana wa kujaribu mbinu hatarishi hata kama zinatiliwa shaka. Kipindi hiki possibility ya Raisi aliyeko madarakani ni kubwa kuendelea hadi miaka yake kumi kukamilika.

Sasa ikifika 2025 CCM haitamsumamisha tena Magufuli bali atakuja mpya na hata ndani ya CCM kutakuwa na mtifuano kwenye ngazi ya urais kama tulivyoshuhudia kwenye ngazi ya ubunge.

Sasa hata kama leo CHADEMA wakiamua kushirikiana na ACT wakamsimamisha mgombea mmoja, ukweli utajulikana baada ya uchaguzi kuwa Membe alikuwa pandikizi au la, ili ikifika 2025 upinzani ujue kabisa kuwa CCM huwa wanapanga kuharibu mikakati ya upinzani kwa kuwapelekea watu ambao huja kuwa ni wagombea kisha wakagawa kura.

Kipindi hiki kwa asilimia kubwa yako mambo maatatu makuu:

1. Kuvuna majimbo ya kutosha kwa kuwekeza nguvu ya kutosha majimboni, bila kujali ni CHADEMA, ACT, NCCR au CUF
2. Kupata kubaini kama wagombea tokea CCM huwa ni mapandikizi au la. Pengine si mapandikizi ila mfumo huwalazimisha kurudi chamani
3. Kujipanga vyema kwa uchaguzi rasmi wa 2025. Hapa watakuwa wameshazijua mbinu za CCM vya kutosha. Hivyo kama kuna mapandikizi wajue hakuna tena kupokea walioachwa na CCM dakika za mwisho.

Hivyo nawahauri CHADEMA kuunganisha nguvu na ACT kumtumia vizuri Membe huku wakiwa makini kusoma trend
 
Membe atafikiriwa japo kwa mbaali kama tu ,TAL hatogembea vinginevyo wanamabadiliko yakweli wa vyama vyote tunaenda na Lisu, haijalishi CCM,CUF,CDM,ACT,NCCR,NRA,SAU,CCJ,TADEA,TLP wote kwa pamoja tunaenda na Lisu. Lakini wale ambao wanaangalia maslahi yao binafsi nasashauri waende na Membe.
 
Changamoto ya Lissu ni kusumbuliwa na vyombo vya Dola
 
Watu wanasema kuwa CHADEMA msirudie kosa kama kipindi kile cha Lowasa. Inawezekana kweli ikawa ni kamchezo kanachezwa tena na CCM lakini lolote laweza kutokea. Upepo hubadilikia hewani.

Mtazamo wangu ni kuwa, kwa kuwa Magufuli hiki ni kipindi chake cha pili anachotaka kuwania sasa, ni wakati mzuri sana wa kujaribu mbinu hatarishi hata kama zinatiliwa shaka. Kipindi hiki possibility ya Raisi aliyeko madarakani ni kubwa kuendelea hadi miaka yake kumi kukamilika.

Sasa ikifika 2025 CCM haitamsumamisha tena Magufuli bali atakuja mpya na hata ndani ya CCM kutakuwa na mtifuano kwenye ngazi ya urais kama tulivyoshuhudia kwenye ngazi ya ubunge.

Sasa hata kama leo CHADEMA wakiamua kushirikiana na ACT wakamsimamisha mgombea mmoja, ukweli utajulikana baada ya uchaguzi kuwa Membe alikuwa pandikizi au la, ili ikifika 2025 upinzani ujue kabisa kuwa CCM huwa wanapanga kuharibu mikakati ya upinzani kwa kuwapelekea watu ambao huja kuwa ni wagombea kisha wakagawa kura.

Kipindi hiki kwa asilimia kubwa yako mambo maatatu makuu:

1. Kuvuna majimbo ya kutosha kwa kuwekeza nguvu ya kutosha majimboni, bila kujali ni CHADEMA, ACT, NCCR au CUF
2. Kupata kubaini kama wagombea tokea CCM huwa ni mapandikizi au la. Pengine si mapandikizi ila mfumo huwalazimisha kurudi chamani
3. Kujipanga vyema kwa uchaguzi rasmi wa 2025. Hapa watakuwa wameshazijua mbinu za CCM vya kutosha. Hivyo kama kuna mapandikizi wajue hakuna tena kupokea walioachwa na CCM dakika za mwisho.

Hivyo nawahauri CHADEMA kuunganisha nguvu na ACT kumtumia vizuri Membe huku wakiwa makini kusoma trend
Hapana mkuu funzo la 2015 linatosha kufumbua macho. Membe hana sifa zozote za kuwa mpinzani japo anaweza kuwa na sifa pomoni za kuwa mgombea urais.
CHA KUWAZA
01:Je kwani upinzani wamekosa kabisa candidate wa maana mwanachama lialia wa kumsimamisha na Magufuli katika uchaguzi huu hadi waone Membe ni kadi ya turufu kwao??
02: Wakimuweka Membe ,Je ile morali ya wanachama kupambana na ule muungano wa vyama na imani ya wanachama kwa ujumla itakuwa thabiti kuvuka kipindi hiki kama ilivyokuwa 2015?
03: Je ni sababu gani viongozi wa upinzani watatushawishi wananchi tumchague huyo Membe wakati amekuja kipindi ambacho anachokitaka ni kuwania urais tu na kutimiza lengo lake uku akijua hawezi kushinda?

YOTE, Yanawezekana lakini kwa ushauri wangu na maoni yangu binafsi.
- Membe hafai kuwa mpeperusha bendera kupitia muungano wa wapinzani, kwa sababu ya wakati aliokuja na nia ya ujio wake
-Pili, Naskia pia Tundu Lissu anaweza kuwa karata dume kwa upande wa CHADEMA lakini kwangu naona uchaguzi huu kutoboa sio rahisi na Tundu Lissu hafai kuwekwa katika uwanja wa majaribio ambayo kufeli probability ni kubwa (Anaweza kufaa 2025 lakini sio sasa) Kwa sasa Nyalandu atleast ni kipimo kizuri
02:
 
ACT na Membe wao ndiyo wanatakiwa kuiunga mkono CHADEMA yenye mtaji wa wanachama, wabunge na wafuasi wengi kuliko ccm.
 
Kwa kuwa reference yetu linapokuja suala la siasa ni Mzee Nyerere, basi si mbaya tukaamini kauli yake kuwa upinzani utazaliwa ccm kwenyewe. Pia hatuwezi kujua kwa yakini ni kwa kiasi gani ccm walidhamiria kumwondoa Membe. Nao upepo hubadilika sana hasa wakihusishwa watanzania. Tunakumbuka ya Mrema na NCCR. Kama si Nyerere Mkapa asingekuwa Rais. Ndio maana nikadhani tujitoe tu mhanga kwa kipindi hiki tena ambapo tutapata picha halisi ya ccm na mustakabali wa 2025
 
Zitto mwanajeuri. Kaweza kuwavuta kina Maalim na kumsajili Membe unadhani atakubali kirahisi ajitoe kwa Chadema?
 
Kwangu binafsi sijaona dhamira ya Membe kutukomboa watanzania zaidi ya kuiona dhamira yake binafsi ya kuwa mgombea wa urais hata kama atashindwa, Sioni mikakati yake, naona tu akijigamba ilihali uhalisia upepo ni mgumu na uchaguzi wa mwaka huu kwa wapinzani hauwezi kuwa rahisi hivyo adhaniavyo
 
Zitto mwanajeuri. Kaweza kuwavuta kina Maalim na kumsajili Membe unadhani atakubali kirahisi ajitoe kwa Chadema?

Zito anajua fika cdm ndio yenye mtaji wa wapiga kura wengi wa upinzani kuliko chama chochote cha upinzani, ndio maana anataka sana muungano na cdm. Zito akiweza kuwateka wapiga kura wa Cdm, hawahitaji hata Seif na Membe kwa mipango yake ya muda mrefu.
 
Kiuhalisia Zitto asubiri miaka mingine ishirini. Lazima kati hapa wapite marais wawili hivi ndio uje wakati wake
 
Infantry Soldier nimeipigia kura Tanzania. Wewe mzalendo mwenzangu unasubiri nini mpaka sasa?????

ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. IPIGIE KURA YA NDIO NCHI YAKO ISHINDE. PLEASE PLEASE PLEASE.

Tanzania has been nominated for the 27th World Travel Awards 2020. To WIN in the nominated categories your SUPPORT and VOTE is much NEEDED. The voting ends on 22 August 2020.

To vote use the following link Vote Vote – World Travel Awards then log in or register for new account.

Vote for Tanzania to win the categories of:

(1) Africa's leading airport

(2) Africa's leading tourist attraction

(3) Africa's leading beach destination

(4) Africa's leading destination

(5) Africa's leading national park

(6) Africa's leading tourist board

YOUR VOTE COUNTS!
 
Back
Top Bottom