Mkumbwa Jr
JF-Expert Member
- Mar 23, 2016
- 2,702
- 3,839
Kama hutojali fafanua vizuri mwanajukwaa ili ueleweke zaidiITV wanajitahidi kidogo kupalance, Efm/TV wanapendelea upinzani kwa 100%. Cheki hata page zao utafikiri ni radio ya pale CRDB kama unapandisha mnazi mmoja, ni habari za upande mmoja tu. (penye neno upinzani weka CCM ili upate maana)
Nimejiskia tu kusema neno NGAD.AITV wanajitahidi kidogo kubalance, Efm/TV wanapendelea upinzani kwa 100%. Cheki hata page zao utafikiri ni radio ya pale CRDB kama unapandisha mnazi mmoja, ni habari za upande mmoja tu. (penye neno upinzani weka CCM ili upate maana)
UTV ndo mwisho wa mchezo.ITV ndio television ya taifa.
Wale wengine wapo wapo tu hawajitambui.
Kupitia ITV kipindi cha Dakika 45, mtangazaji huyo nimekuwa nikimuona anavyowahoji wanasiasa na nimebaini kwamba yupo huru zaidi maana sijawahi kumuona kama anashabikia upande wowote wa chama cha siasa.
Huyo Mwinyi anagombea nafasi gani iliyowaacha watanzania wawe na kiu?Habari ya wakati huu wanajukwaa hili huru.
Kuelekea uchaguzi mkuu wa Rais,Wabunge/wawakilishi na Madiwani vimekuwa vikiendeshwa vipindi mbalimbali vihusuvyo mwenendo wa siasa kama vile ilani za vyama, sera na ahadi mbalimbali.
Kupitia ITV kipindi cha Dakika 45, mtangazaji huyo nimekuwa nikimuona anavyowahoji wanasiasa na nimebaini kwamba yupo huru zaidi maana sijawahi kumuona kama anashabikia upande wowote wa chama cha siasa.
Leo amemhoji Dkt.Hussein Mwinyi kwakweli hakumuacha akaondoka na kiu kubwa waliyonayo watanzania.
Hongera Dada wewe ni mwandishi huru.
Penye neno "UPINZANI" weka "CCM") halafu soma tena.Kama hutojali fafanua vizuri mwanajukwaa ili ueleweke zaidi