Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba: Kuna uwezekano mkubwa wa Mitandao ya Kijamii kuzimwa

wao hata wazime uzuri njaa ni ujumbe tosha anga lishawakataa wakatafute kazi zingine kwani ni lazima watutawale
 
wao hata wazime uzuri njaa ni ujumbe tosha anga lishawakataa wakatafute kazi zingine kwani ni lazima watutawale
 
wanakimbiza upepo kushindana na wakati,habari zitawafikia watu kupitia blue tooth,vidio,flash,cd vipeperushi nk ,zitasambaa kama kawaida tu,
mkoloni aliondoka na habari zilisambaa bila mitandao
 
Vizurii tu hatutaki fujo sisi uchaguzi uishe kwa amani mambo ya kutoana korodani wengine hata bado
 
Acheni kuleta taharuki mambo yapo sawa kabisa na tutavuka salama katika hiki kipindi. Usikubali kudanganywa na mtu kufanya jambo lolote lililozuiwa na Katiba pamoja Tume ya Uchaguzi.
Think positive and reap positive fruits.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…