Uchaguzi 2020 Kuelekea uchaguzi mkuu: Rais Magufuli kulifunga Bunge Juni 30, Shughuli za Bunge kumalizika Mei 30

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
e8f8a31703c78a5e6adb0427e7e572f1

Rais John Magufuli
BUNGE la Tanzania, sasa limeamua kufungasha vilago vyake, mwezi mmoja kabla ya muda wake wa awali uliopangwa na uongozi wa Bunge hilo.
Taarifa iliyotolewa kwa wabunge wote wa Bunge la Tanzania na Katibu wa Bunge, Steven Kigagai, imeeleza kuwa mkutano wa Bunge la 19 utafungwa rasmi tarehe 30 Mei mwaka huu.
Kwa mujibu wa ratiba ya awali, Bunge la Jamhuri ya Muungano, lilipangwa kumaliza muda wake, tarehe 30 Juni 2020.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, siku hiyo – 30 Juni 2020 – ndipo Rais wa Jamhuri ya Muungano, Dk. John Pombe Magufuli, anatarajiwa kufunga Bunge la Tanzania, tayari kuelekea uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani wa 25 Oktoba 2020.

Haijaelezwa sababu za uongozi wa Bunge kuamua kumaliza mkutano wa bajeti mapema, kinyume na utamaduni wake wa miaka mingi.

Lakini mfanyakazi mmoja wa Bunge anasema, “kupunguza huko kwa siku za mkutano wa Bunge la Bajeti, kunawezekana kuwa kunatokana na hofu ya kusambaa kwa ugonjwa wa Corona.
e8f8a31703c78a5e6adb0427e7e572f1-1

Tangu kuanza kwa mkutano huu wa Bunge, Machi mwaka huu, tayari wabunge watatu wameshapoteza maisha; jambo ambalo limesababisha baadhi ya wabunge kumtaka Spika Job Ndugai, kusitisha vikao vya Bunge hilo.

Wabunge hao waliokufa katika kipidi hiki, ni Mchungaji Gertrude Rwakatare, ambaye alikuwa Mbunge wa Viti Maalum (CCM); Mwanadiplomasia wa siku nyingi ulimwenguni ambaye pia alikuwa waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Dk. Augustine Mahiga na Mbunge wa Sumve, Richard Mganga Ndasa.

Kwa mujibu wa ratiba hiyo mpya, Bajeti Kuu ya Serikali, badala ya kujadiliwa kwa wiki mzima kama ilivyokuwa huko nyuma, sasa itajadili kwa siku mbili – Alhamisi na Ijumaa.

“Kura ya kupitisha bajeti utakaoambatana na upigaji wa kura ya wazi, utahitimishwa 22 Mei 2020” na kwamba Rais atafunga Bunge wiki moja kutoka upitishaji wa bajeti ufanyike.

Aidha, Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa na Rais Magufuli, wote watahutubia Bunge siku moja, wakati kwenye ratiba ya awali, Waziri Mkuu alipangwa kuhutubia Bunge tarehe 29 na rais siku inayofuata.
 
Naisubiri hotuba bora Kabisa ya Dr.Magufuli

Miaka mitano ya Rais Magufuli imekuwa ya uchapakazi, uzalendo, upendo

Tumewashinda Mabeberu na vibaraka wao

Sheria za madini zimerekebishwa Hakuna tena unyonyaji

Ahasante Rais Magufuli Tunakuamini sana kuipeleka Tanzania Katika uchumi wa kati
 
Magufuri hajawahi kuwa na hotuba bora
 
Naisubiri hotuba bora Kabisa ya Dr.Magufuli

Miaka mitano ya Rais Magufuli imekuwa ya uchapakazi, uzalendo, upendo

Tumewashinda Mabeberu na vibaraka wao

Sheria za madini zimerekebishwa Hakuna tena unyonyaji

Ahasante Rais Magufuli Tunakuamini sana kuipeleka Tanzania Katika uchumi wa kati
Zaombie la jf
 
Kwaheri bunge la Ndugai........ Karibu bunge jipya la mtemi Chenge!
 
Naisubiri hotuba bora Kabisa ya Dr.Magufuli

Miaka mitano ya Rais Magufuli imekuwa ya uchapakazi, uzalendo, upendo

Tumewashinda Mabeberu na vibaraka wao

Sheria za madini zimerekebishwa Hakuna tena unyonyaji

Ahasante Rais Magufuli Tunakuamini sana kuipeleka Tanzania Katika uchumi wa kati
tiyari umeshalipwa posho? maana mliingiaga mitini nyie au posho zilikata
 
bunge lenye halina maana liishe tu! bunge la uvungun bunge gan hilo!
 
e8f8a31703c78a5e6adb0427e7e572f1

Rais John Magufuli
BUNGE la Tanzania, sasa limeamua kufungasha vilago vyake, mwezi mmoja kabla ya muda wake wa awali uliopangwa na uongozi wa Bunge hilo.

Kwa mujibu wa ratiba ya awali, Bunge la Jamhuri ya Muungano, lilipangwa kumaliza muda wake, tarehe 30 Juni 2020.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, siku hiyo – 30 Juni 2020 – ndipo Rais wa Jamhuri ya Muungano, Dk. John Pombe Magufuli, anatarajiwa kufunga Bunge la Tanzania, tayari kuelekea uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani wa 25 Oktoba 2020.

Haijaelezwa sababu za uongozi wa Bunge kuamua kumaliza mkutano wa bajeti mapema, kinyume na utamaduni wake wa miaka mingi.

Lakini mfanyakazi mmoja wa Bunge anasema, “kupunguza huko kwa siku za mkutano wa Bunge la Bajeti, kunawezekana kuwa kunatokana na hofu ya kusambaa kwa ugonjwa wa Corona.
e8f8a31703c78a5e6adb0427e7e572f1-1

Tangu kuanza kwa mkutano huu wa Bunge, Machi mwaka huu, tayari wabunge watatu wameshapoteza maisha; jambo ambalo limesababisha baadhi ya wabunge kumtaka Spika Job Ndugai, kusitisha vikao vya Bunge hilo.

Wabunge hao waliokufa katika kipidi hiki, ni Mchungaji Gertrude Rwakatare, ambaye alikuwa Mbunge wa Viti Maalum (CCM); Mwanadiplomasia wa siku nyingi ulimwenguni ambaye pia alikuwa waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Dk. Augustine Mahiga na Mbunge wa Sumve, Richard Mganga Ndasa.

Kwa mujibu wa ratiba hiyo mpya, Bajeti Kuu ya Serikali, badala ya kujadiliwa kwa wiki mzima kama ilivyokuwa huko nyuma, sasa itajadili kwa siku mbili – Alhamisi na Ijumaa.

“Kura ya kupitisha bajeti utakaoambatana na upigaji wa kura ya wazi, utahitimishwa 22 Mei 2020” na kwamba Rais atafunga Bunge wiki moja kutoka upitishaji wa bajeti ufanyike.

Aidha, Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa na Rais Magufuli, wote watahutubia Bunge siku moja, wakati kwenye ratiba ya awali, Waziri Mkuu alipangwa kuhutubia Bunge tarehe 29 na rais siku inayofuata.
Mnachekesha sana, sa hii nayo ni habari mpya? ulimfatilia Spika wakati akizungumzia hatua zilizochukuliwa na Bunge kwa kipindi hiki cha Corona wakati ndo wanaanza vikao? hiyo ilikuwa ni moja ya hatua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waseme tu hawana hela za kuendelea kuwalipa kutokana na athari za corona kiuchumi.
 
Back
Top Bottom