PreGE2025 Kuelekea Uchaguzi Mkuu; Sasa ni Wakati wa Muafaka wa Kuwatofautisha CHAWA n VIRUS

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

The Khoisan

Platinum Member
Joined
Jun 5, 2007
Posts
18,900
Reaction score
18,751
Toka Maza ameinhia madarakani kumeibuka Wapambe na Washabiki wakubwa wa Mama pamoja na CCM kwa jina Maarufu wanafahakika kama CHAWA. Lakini ukiangalia kwa jicho la pili siyo kuwa hawa wote ni chawa wa kweli. Chawa wa kweli wapo kwa kazi moja tu, kuhakikisha kuwa Maza anaendelea kuongoza. Design za kina Lukas.

Lakini kwa jicho la pili wapo wale wengine ambao WAMENUNULIWA AU KUPANDIKIZWA kwa ajili ya kuvuruga upande wa pili hasa Chadema na ACT WAZALENDO. Hawa siyo CHAWA bali ni VIRUS.

Kwa kifupi. Kisayansi VIRUS siyo kiumbe hai bali ni vidude ambacho vinaishi kama Parasite na kwa Greece language wanatafsiriwa kama SUMU (Poison). Hawa kwa sasa Wanaongezeka kama Uyoga hasa ndani ya Chadema.

Kupambana na CHAWA ni vigumu kwa bile wengi wao wanapigania Maslahi binafdi. Ila VIRUS kwa vile ni mapadikizi ndani ya Upinzani wao wanawezwa kukabiliwa na kuondolewa.

Ushauri wangu ni kuwa kuanxia sasa Chadema na ACT Wazalendo waanze kuwamulika na kuwaonfo ndani ya vyama vyso ili waende kule wanakokupigajia.

Let's Say No to VIRUS!!
 
Inashangaza watu wamepoteza maisha yao kwa sababu za uchaguzi haramu. leo watu wanataka sheria zibadilishwe anatokea mtu yuleyule aliyekuwa analalamikia uchaguzi haramu uliouwa watu nakusema chama lazima kishiriki?
Tena katikati ya hamasa ya maamuzi ya vikao?
Tuwaiteje watu hawa zaidi ya kuwaita wasaliti wa umma?
hivi yule aliyeuwawa kule manyoni leo akikuta watu wanabishania huu ujinga ataelewaje/
G 55 ni wasaliti
 
Virus au kirusi kwenye vyama vya siasa sio lazima awe mtu,yawezekana katika matumizi yenu ya TEHAMA report zenu na data zenu zinadukuliwa na upande wa pili.
Lakini kudhibiti mtu kirusi nayo ni shughuli pevu.
 
Kama CHAWA wapo kwa nini huamini hakuna VIRUS.....!?
 
Toka Maza ameinhia madarakani kumeibuka Wapambe na Washabiki wakubwa wa Mama pamoja na CCM kwa jina Maarufu wanafahakika kama CHAWA. Lakini ukiangalia kwa jicho la pili siyo kuwa hawa wote ni chawa wa kweli. Chawa wa kweli wapo kwa kazi moja tu, kuhakikisha kuwa Maza anaendelea kuongoza. Design za kina Lukas.

Lakini kwa jicho la pili wapo wale wengine ambao WAMENUNULIWA AU KUPANDIKIZWA kwa ajili ya kuvuruga upande wa pili hasa Chadema na ACT WAZALENDO. Hawa siyo CHAWA bali ni VIRUS.

Kwa kifupi. Kisayansi VIRUS siyo kiumbe hai bali ni vidude ambacho vinaishi kama Parasite na kwa Greece language wanatafsiriwa kama SUMU (Poison). Hawa kwa sasa Wanaongezeka kama Uyoga hasa ndani ya Chadema.

Kupambana na CHAWA ni vigumu kwa bile wengi wao wanapigania Maslahi binafdi. Ila VIRUS kwa vile ni mapadikizi ndani ya Upinzani wao wanawezwa kukabiliwa na kuondolewa.

Ushauri wangu ni kuwa kuanxia sasa Chadema na ACT Wazalendo waanze kuwamulika na kuwaonfo ndani ya vyama vyso ili waende kule wanakokupigajia.

Let's Say No to VIRUS!!
Sikiliza maoni tofauti, ikiwa yana tija, yajadili na watu wako wa karibu. Yaweke mtandaoni. Fanya research, polls. Angalia ukweli upo wapi.

Ukijua ukweli fanya uitishe vikao vya maamuzi kura zipigwe tena. Uende na maamuzi ya wengi.
 
Back
Top Bottom