FM radio frequencies 87.5 to 108 MHz
ambazo inaweza kuingiliana na VHF aviation range zinazoanzia 108MHz and above.
so radio zilizo karibu na airport inabidi wazipatie frequeny range low below from 108MHz ,kwani SAUTI radio iko kwenye masafa gani?
maana ikiwa around 108MHz na kutransmit with higher power than that of aviation VHF inakuwa tatizo.
TCRA imeifungia eti imejiingiza kwenye SIASA
kabla ya mikutano yao chadema na cuf wawe na projector wanaonyesha kitu kama hikitutayaona na kuyasikia mengi, hata haka katangazo ka 'policy forum' kamepigwa marufuku kuonyeshwa kwenye TV eti kanakiuka taratibu za uchaguzi...........
http://www.youtube.com/watch?v=A3fJTCd9PWY
hii redio imeanza lini? wakati wa mkpa ilkuwa haipo?
Jamani mwenye Taarifa sahihi kuhusu hili Jambo atujuze
tangu sijui 97hii redio imeanza lini? wakati wa mkpa ilkuwa haipo?