Elections 2010 Kuelekea uchaguzi mkuu.... SAUT FM yafungiwa....!

Elections 2010 Kuelekea uchaguzi mkuu.... SAUT FM yafungiwa....!

anaye dai wamefungiwa kwa kuwa masafa yake yanaingiliana na ya ndege yapi?
kuna dedicated FM CHANEL na pia Aviation wana channel -frequency range .
na pia kuna frequency range for testing
Anyway kama sababu ndio hiyo tu basi watakuwa allocated another frequency range
 
kituo cha radio SAUT kilichopo jijini mwanza kimesimamishwa kurusha matangazo yake kwa muda kutokana na mwingiliano wa mawimbi na kituo cha uwanja wa ndege wa jijini mwanza na hivyo kupelekea mawasiliano ya air port ya jijini mwanza kuharibika, kwa habari nilizo zipata zinasemekana kuwa kunakifaa kinachokosekana katika radio hiyo na ndio kinachopelekea muingiliano wa mawimbi na air port ya jijini mwanza. RADIO SAUT FM itarudi tena hewani endapo marekebisho ya kifaa hicho yatafanyika.

na si sababu za kisiasa kama inavyo daiwa na baadhi ya watu

radio3.jpg
 
Madai ni kwamba imefungiwa kwa sababu za kiufundi.

Tusubiri tuone mwisho wake.
 
FM radio frequencies 87.5 to 108 MHz

ambazo inaweza kuingiliana na VHF aviation range zinazoanzia 108MHz and above.

so radio zilizo karibu na airport inabidi wazipatie frequeny range low below from 108MHz ,kwani SAUTI radio iko kwenye masafa gani?

maana ikiwa around 108MHz na kutransmit with higher power than that of aviation VHF inakuwa tatizo.
 
kituo cha radio SAUT kilichopo jijini mwanza kimesimamishwa kurusha matangazo yake kwa muda kutokana na mwingiliano wa mawimbi na kituo cha uwanja wa ndege wa jijini mwanza na hivyo kupelekea mawasiliano ya air port ya jijini mwanza kuharibika, kwa habari nilizo zipata zinasemekana kuwa kunakifaa kinachokosekana katika radio hiyo na ndio kinachopelekea muingiliano wa mawimbi na air port ya jijini mwanza. RADIO SAUT FM itarudi tena hewani endapo marekebisho ya kifaa hicho yatafanyika.
 
FM radio frequencies 87.5 to 108 MHz

ambazo inaweza kuingiliana na VHF aviation range zinazoanzia 108MHz and above.

so radio zilizo karibu na airport inabidi wazipatie frequeny range low below from 108MHz ,kwani SAUTI radio iko kwenye masafa gani?

maana ikiwa around 108MHz na kutransmit with higher power than that of aviation VHF inakuwa tatizo.

Mkuu ni kweli kwamba FM Radio range ni 87.5-108 MHz na Aviation zinaanzia 108MHz

Mkuu kwenye any transmiter kuna kitu kinaitwa output filter ambayo kimsingi ni bandbas filter, na hii ina kazi ya kuhakikisha kwamba Mtambo wa Radio unarusha mawimbi yake katika frequency ilipangiwa, sasa kama kuna ubovu katika filter mkuu kuna mambo mengi yaweza tokea hapo

1: Intermodulation
2: Spurius emmission, yaani hata zile signa ambazo unatakiwa uzibane kwa filter nazo zitaenda hewani kama filter yako ni mbovu

Kwa hiyo mkuu inawezekana kabisa kwa FM radios kuingilia masafa ya ndege cha msingi jamaa wa Sauti wabadilishe Filter waweke mpya
 
Radio imekaa kisiasa zaidi badala ya kishuleshule ... acha ifungiwe... tu! hata kama sababu sio mawimbi ni haki kufungiwa
 
TCRA imeifungia eti imejiingiza kwenye SIASA

hawa TCRA na MOma wao ni wababaishaji wakubwa. Baada ya kuwapatia watanzania taarifa sahihi za namba zisizojulikana wanaamua kuifungia SAUT fm kwa kuwa haimpi shavu Masha. Washindwe na walegeeeeeeee
 
Back
Top Bottom