B Bukama New Member Joined Sep 15, 2016 Posts 1 Reaction score 0 Sep 27, 2016 #1 Wadau, Soka letu linazidi kuporomoka kwa kasi ya kutisha.Na bwana Malinzi ndio anazidi kuchochea kuni soka lizikwe kabisa. Huyu mtu asipewe nafasi nyingine kuongoza TFF.
Wadau, Soka letu linazidi kuporomoka kwa kasi ya kutisha.Na bwana Malinzi ndio anazidi kuchochea kuni soka lizikwe kabisa. Huyu mtu asipewe nafasi nyingine kuongoza TFF.
vesta JF-Expert Member Joined Jan 12, 2014 Posts 936 Reaction score 942 Sep 27, 2016 #2 Nilikua na imani jamaa alivyokua anaingia, lakini ameniangusha sana. Sasa naelewa kwanini wakina Tenga hawakutaka aingie
Nilikua na imani jamaa alivyokua anaingia, lakini ameniangusha sana. Sasa naelewa kwanini wakina Tenga hawakutaka aingie
inamankusweke JF-Expert Member Joined Apr 24, 2014 Posts 20,344 Reaction score 21,967 Sep 27, 2016 #3 Tangu lini muhaya akawa kiongozi,wao ukabila na kujikweza tu
Landala JF-Expert Member Joined Dec 24, 2010 Posts 997 Reaction score 478 Sep 29, 2016 #4 Rais ajaye wa TFF ni mwenyekiti wa chama cha mpira mkoa wa Mara ndugu Michael Richard Wambura.
R ruhi JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 4,368 Reaction score 6,661 Sep 30, 2016 #5 Wambura uko Mara anasaidiaje timu? wakati mpira wa mguu iko ICU? acheni mazoea