Kuelekea uchaguzi mkuu wa TFF mwakani

Kuelekea uchaguzi mkuu wa TFF mwakani

Bukama

New Member
Joined
Sep 15, 2016
Posts
1
Reaction score
0
Wadau,

Soka letu linazidi kuporomoka kwa kasi ya kutisha.Na bwana Malinzi ndio anazidi kuchochea kuni soka lizikwe kabisa.

Huyu mtu asipewe nafasi nyingine kuongoza TFF.
 
Nilikua na imani jamaa alivyokua anaingia, lakini ameniangusha sana. Sasa naelewa kwanini wakina Tenga hawakutaka aingie
 
Rais ajaye wa TFF ni mwenyekiti wa chama cha mpira mkoa wa Mara ndugu Michael Richard Wambura.
 
Wambura uko Mara anasaidiaje timu? wakati mpira wa mguu iko ICU? acheni mazoea
 
Back
Top Bottom