KakaKiiza
Platinum Member
- Feb 16, 2010
- 11,952
- 9,469
Wakuu hali si.......hali!!
Kutokana vuta nikuvute iliyopo katika CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO kwa sasa ni zao la uchaguzi mkuu uliofanyika hikaribuni ndani ya CHADEMA na Antipas Tundu Lisu kuibuka mshindi kwa kishindo na mbwaga mpinzani wake Ndugu Aikaeli Freeman Mboe kwa kishindo kikubwa ambacho hakikutegemewa na kambi yake au hatayeye mwenyewe! Kwakuwa Demokrasia ilichukua mkondo wake basi aliyekuwa mwenyekiti hakuwa na la kusema zaidi ya kuwashukuru wanachama na wapiga kura wake.
Baada ya hayo yote kambi yake iliyomuamini kama Mungu wao katika demokrasia aikuridhika! kabisa ikaona kama waliomchagua ATL ni mazandiki na wasaliti hasa wakiwalenga akina John Heche na zaidi homeboy wake Lema na wengine wengi wa kariba yake! na zaidi wakidai kulikuwa na watu hawakupaswa kupiga kura ila walipiga kura na kuchagua viongozi ila aijulikani walichagua viongozi wa upande gani kwani kura ni siri!. Lakina napengine kosa ambalo halikuwafuraisha wanachadema ni swala la kumrudisha mtu ambaye aliwasaliti wenzake wakiwa msitari wa mbele akakimbilia kwa adui! na simwingine ni Dkt Slaa hii iliwaudhunisha sana!
Uongozi mpya ulipoingia wakaona kama CHADEMA ilikuwa inapoteza mwelekeo sasa niwakati wakuirudisha katika usawa wa mwelekeo thabiti. Wakaanza mchakato wakutafuta viongozi ule mchakato inaonekana kama haukufuata sheria na katiba ya chadema, na pengine wakatoa ushauri jinsi ya kuendesha kampeni yao ya No reform No Election kwasasa inatakiwa iwepo na kutogomea uchaguzi ila kwakuwa wenye mpini wakasema ni msimamo wa chama!! wakapata mahali pakuanzia na wakaona aitoshi lazima tuwe na kundi la G55!
Wakatukumbusha akina Njeru kasaka! na kundi la G5 Sasa turudi katika mada,Sasa huu mvutano kuna kambi inaanda katiba na siajabu ipo kwa msajili wa vyama vya siasa! Kwakuwa msimamo wa ATL awezi kubadilika.
Lakini ikumbukwe kuwa upande wapili kwa maana CCM walimtaka AFM hawakuta ATL ashinde uenyekiti wa CHADEMA!Walitumia mikakati yote ikashindikana,sasa wamekuja na njia mpya nakuwasuka vijana wa AFM kupeleka shauri lao mahakamani wakipinga mchakato wakupata uongozi na mambo mengine!
hivyo siku siyo nyingi watagawanyika tu! nakuwa na chama kipya CHADEMA ACADEMIA Chadema ikipasuka ujue ndiyo utakuwa mwisho wake maana chama kitakachozaliwa ndani ya CHADEMA ndicho kitakuwa nguvu na kinaongoza kwani kitajinasibu kuwa akiwezi kuwa sehemu ya siasa za chuki! Hivyo tukae mkao wakusubiri mengi yanakuja!