KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,794
- 9,075
Wadau za leo, Kama kichwa cha habari kinavyoelezea na kuuliza wewe Mtanzania kutokana na changamoto unazopitia au kuziona katika jamii yako leo, Je, katika kipindi hiki kuelekea katika Uchaguzi wa Awamu ya Sita hapo Oktoba 2025, ukipata nafasi ya kumshauri Rais Samia Suluhu ungemshauri kitu gani kwa manufaa ya nchi?
Je, ungependa akiingia madarakani baada ya uchaguzi ni vitu gani avipe kipaumbele? (First Priorty)
Mawazo yako yana mchango mkubwa katika nchi hii, usijidharau yawezekana Rais na yeye yumo humu sema ndio hujui username yake
Twende Kazi.