Pre GE2025 Kuelekea Uchaguzi Oktoba 2025, Ukipata nafasi ya kumshauri Rais Samia, utamshauri kitu gani kwa manufaa ya nchi?

Pre GE2025 Kuelekea Uchaguzi Oktoba 2025, Ukipata nafasi ya kumshauri Rais Samia, utamshauri kitu gani kwa manufaa ya nchi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Aache kung'ang'ania wateule walewalee Tz ina watu wengi tena wasomi na wenye ujuzi kuliko hao waliomzunguka ambao wameshamjua mapungufu yake ya kupenda kumtukuza (machawa) ili mradi matumbo yao yajae!.
 
Back
Top Bottom