1.Wapunguze bajeti za magari ya mamilion why 30% ya bajeti ni maendeleo na ilio bakia ni matumizi.Wadau za leo, Kama kichwa cha habari kinavyoelezea na kuuliza wewe Mtanzania kutokana na changamoto unazopitia au kuziona katika jamii yako leo, Je, katika kipindi hiki kuelekea katika Uchaguzi wa Awamu ya Sita hapo Oktoba 2025, ukipata nafasi ya kumshauri Rais Samia Suluhu ungemshauri kitu gani kwa manufaa ya nchi?
Je, ungependa akiingia madarakani baada ya uchaguzi ni vitu gani avipe kipaumbele? (First Priorty)
Mawazo yako yana mchango mkubwa katika nchi hii, usijidharau yawezekana Rais na yeye yumo humu sema ndio hujui username yake
Twende Kazi.
Asigombe uRais Tanganyika akagombee kwao Zanzibar.Wadau za leo, Kama kichwa cha habari kinavyoelezea na kuuliza wewe Mtanzania kutokana na changamoto unazopitia au kuziona katika jamii yako leo, Je, katika kipindi hiki kuelekea katika Uchaguzi wa Awamu ya Sita hapo Oktoba 2025, ukipata nafasi ya kumshauri Rais Samia Suluhu ungemshauri kitu gani kwa manufaa ya nchi?
Je, ungependa akiingia madarakani baada ya uchaguzi ni vitu gani avipe kipaumbele? (First Priorty)
Mawazo yako yana mchango mkubwa katika nchi hii, usijidharau yawezekana Rais na yeye yumo humu sema ndio hujui username yake
Twende Kazi.
Kwanini amebadili Makamu wa kwanza wa Rais kimya kimyaMawazo yako yana mchango mkubwa katika nchi hii, usijidharau yawezekana Rais na yeye yumo humu sema ndio hujui username yake
Kwamba ajiuziru, awaachie Watanganyika watawale nchi yao wenyewe. Lazima nitamueleza jinsi Zenji inavyotunyonya.Wadau za leo, Kama kichwa cha habari kinavyoelezea na kuuliza wewe Mtanzania kutokana na changamoto unazopitia au kuziona katika jamii yako leo, Je, katika kipindi hiki kuelekea katika Uchaguzi wa Awamu ya Sita hapo Oktoba 2025, ukipata nafasi ya kumshauri Rais Samia Suluhu ungemshauri kitu gani kwa manufaa ya nchi?
Je, ungependa akiingia madarakani baada ya uchaguzi ni vitu gani avipe kipaumbele? (First Priorty)
Mawazo yako yana mchango mkubwa katika nchi hii, usijidharau yawezekana Rais na yeye yumo humu sema ndio hujui username yake
Twende Kazi.
Wa
1.Wapunguze bajeti za magari ya mamilion why 30% ya bajeti ni maendeleo na ilio bakia ni matumizi.
2.Kuna haja ya wabunge na watu wa serikalini kupunguza mishahara ili izo fedha ziende katika maendeleo.
3.Tuitenge siasa katika mambo ya kitaifa kusiwe na nafasi ya usiasa kwenye mikutano ya kitaifa.
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
4.kwenye serikali kuweka watu ambao elimu akuna For example wabunge iwe ni kuanzia degree kuenda mbele ndio uingie bungeni uwe waziri Uwe na masters ya kitu husika cha wiazara yako atuwezi kuendelea kuwa na baadhi ya mawaziri ambao wamosomea ualimu alafu akasimamie Afya. So sad.
Aangalie maeneo yanayoingiza pesa za kigeni kwenye vipau mbele vya maendeleo sababu ndio walipa deni la nje la pesa za kigeniWadau za leo, Kama kichwa cha habari kinavyoelezea na kuuliza wewe Mtanzania kutokana na changamoto unazopitia au kuziona katika jamii yako leo, Je, katika kipindi hiki kuelekea katika Uchaguzi wa Awamu ya Sita hapo Oktoba 2025, ukipata nafasi ya kumshauri Rais Samia Suluhu ungemshauri kitu gani kwa manufaa ya nchi?
Je, ungependa akiingia madarakani baada ya uchaguzi ni vitu gani avipe kipaumbele? (First Priorty)
Mawazo yako yana mchango mkubwa katika nchi hii, usijidharau yawezekana Rais na yeye yumo humu sema ndio hujui username yake
Twende Kazi.
Kwanza ningemshauri amalize kadhia za wafanyakazi waliobambikiwa kesi kisha wakafukuzwa kazi na hata kesi zao zilipofutwa waajiri walikataa kuwarudisha kazini bila sababu ya msingi. Hii ni changamoto ambayo inasumbua wafanyakazi wengi wa umma na malalamiko yao yanapuuzwaWadau za leo, Kama kichwa cha habari kinavyoelezea na kuuliza wewe Mtanzania kutokana na changamoto unazopitia au kuziona katika jamii yako leo, Je, katika kipindi hiki kuelekea katika Uchaguzi wa Awamu ya Sita hapo Oktoba 2025, ukipata nafasi ya kumshauri Rais Samia Suluhu ungemshauri kitu gani kwa manufaa ya nchi?
Je, ungependa akiingia madarakani baada ya uchaguzi ni vitu gani avipe kipaumbele? (First Priorty)
Mawazo yako yana mchango mkubwa katika nchi hii, usijidharau yawezekana Rais na yeye yumo humu sema ndio hujui username yake
Twende Kazi.
Dokokaya nchi kuendelea haihitaji domokayaTundu lissu awe waziri mkuu ajae
Nitamshauri asigombee maana hana uwezoWadau za leo, Kama kichwa cha habari kinavyoelezea na kuuliza wewe Mtanzania kutokana na changamoto unazopitia au kuziona katika jamii yako leo, Je, katika kipindi hiki kuelekea katika Uchaguzi wa Awamu ya Sita hapo Oktoba 2025, ukipata nafasi ya kumshauri Rais Samia Suluhu ungemshauri kitu gani kwa manufaa ya nchi?
Je, ungependa akiingia madarakani baada ya uchaguzi ni vitu gani avipe kipaumbele? (First Priorty)
Mawazo yako yana mchango mkubwa katika nchi hii, usijidharau yawezekana Rais na yeye yumo humu sema ndio hujui username yake
Twende Kazi.
Ukisikia mtu anafeli mtihani kirahisi wewe umoNinamshauri mwenza wake,awe anatembelea hata vituo vya yatima na wajane,awasalimie na kuwaona kama sehemu ya Watanzania wanaohitaji misaada ,kuliko hali ilivyo sasa,anajificha,haongei Wala haonekani popote! Au tusema Rais in Single mother?