G goodluck5 JF-Expert Member Joined Jan 8, 2014 Posts 7,092 Reaction score 11,613 Mar 7, 2025 #21 Aache kung'ang'ania wateule walewalee Tz ina watu wengi tena wasomi na wenye ujuzi kuliko hao waliomzunguka ambao wameshamjua mapungufu yake ya kupenda kumtukuza (machawa) ili mradi matumbo yao yajae!.
Aache kung'ang'ania wateule walewalee Tz ina watu wengi tena wasomi na wenye ujuzi kuliko hao waliomzunguka ambao wameshamjua mapungufu yake ya kupenda kumtukuza (machawa) ili mradi matumbo yao yajae!.