Pre GE2025 Kuelekea Uchaguzi, Polisi na Serikali fanyeni wajibu wenu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

tripof

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2024
Posts
829
Reaction score
1,120
Ninafahamu Uchaguzi unapofanyika wenye wajibu wa kutenda haki ni Tume Serikali na vyombo vya dola na wala siyo CCM yakulaumiwa.

Ebu safari hii fuateni maelekezo ya Amir Jeshi Mkuu wenu Samia Hassan aliyoyatoa na yamejificha kwenye 4R.

Pia zingatieni maoni ya Kikwete kwenye Hotuba yake Ya Mkutano Mkuu Dodoma ya CCM kutotegemea vyombo vya dola kwenye chaguzi zote. ina mwisho wake.
 
polisi na Usalama wa taifa nchin ni wazuri mno iwapo wataachwa wafanye kazi bila kuingiliwa,changamoto wanafuata maelekezo ya wakubwa na kulazimika kuingizwa kwenye dhambi isiyo ya lazima na si wanufaika. tuwaombee tu wanawakati mgumu mno kipindi cha uchaguzi kikifika.
 
Una omba jeshi lililo jaa vilaza( kwa mujibu wa Simbachawene) kutimiza wajibu wake? huu ni upumbavu na uwendawazimu.
 
Ninafahamu Uchaguzi unapofanyika wenye wajibu wa kutenda haki ni Tume Serikali na vyombo vya dola na wala siyo CCM yakulaumiwa.

Ebu safari hii fuateni maelekezo ya Amir Jeshi Mkuu wenu Samia Hassan aliyoyatoa na yamejificha kwenye 4R.

Pia zingatieni maoni ya Kikwete kwenye Hotuba yake Ya Mkutano Mkuu Dodoma ya CCM kutotegemea vyombo vya dola kwenye chaguzi zote. ina mwisho wake.
Sahihi
 
Back
Top Bottom