Kuelekea Uchaguzi wa Marekani: Trump ahaidi kuwalipa Wamarekani Republicans wakishinda

Kuelekea Uchaguzi wa Marekani: Trump ahaidi kuwalipa Wamarekani Republicans wakishinda

Rais wa Marekani Donald Trump ameahidi kumpa kila raia Mmarekani mwenye umri wa utu uzima “gawio” la dola 5,000 endapo chama cha Republican kitashinda uchaguzi wa awali (Midterm elections). Wamarekani wanatarajiwa kupiga kura katika uchaguzi huo mwanzoni mwa Novemba, huku makadirio ya sasa yakionyesha kuwa chama cha Democratic kina nafasi ya kushinda udhibiti wa Baraza la Wawakilishi.

Ushindi wa Democrats unaweza kuifanya iwe vigumu kwa Trump kutekeleza ajenda yake ya kisera na pia kutoa ishara kuhusu mtazamo wa wananchi kuhusu sera zake katika muhula wake wa pili.

Shinikizo kwa Bajeti

Inakadiriwa kuwa mpango huo wa “gawio la Trump” unaweza kugharimu zaidi ya dola trilioni moja, jambo linaloibua maswali kuhusu chanzo cha fedha hizo na namna litakavyoathiri hali ya bajeti ya serikali ya Marekani.

Kiasi hicho ni kikubwa ikilinganishwa na dola trilioni 1.27 ambazo serikali ya Marekani tayari imetumia kulipa riba ya deni la taifa katika mwaka wa fedha hadi sasa, pamoja na dola trilioni 1.36 zilizotengwa kwa matumizi ya ulinzi mwaka 2026.


My take
Dunia inaenda kasi sana, mambo tuliyozoea kuyaona Afrika sasa tunaenda kuyaona Marekani. Trump ametangaza kugawa dola 5000 kwa kila Mmarekani (mtu mzima) endapo chama chake kitashinda uchaguzi.



=============

U.S. President Donald Trump has promised every adult American citizen a $5,000 “dividend” if the Republicans are victorious at the upcoming midterm elections.

Americans will vote in the midterms in early November, with the Democrats currently projected to win control of the House of Representatives.

Such a result would likely create barriers to Trump’s legislative agenda and send a signal about public opinion on the president’s policy mix throughout his second presidential term.

“Here is my promise: if the Republicans win the House of Representatives and the United States Senate, both of them… because of our tremendous strength and success economically, I will issue a dividend to every adult citizen in the United States of America for $5,000,” he told a crowd at the GOP’s midterm convention in Dallas.

“I’m asking you to pretend that I’m on the ballot,” he added.

Fiscal pressure
It is estimated that the total proposed “Trump dividend” payout would cost more than $1 trillion — raising questions about how such an expense would be funded and its impact on fiscal strain facing the Federal budget.

The potential payout compares to the $1.27 trillion the U.S. government has already spent paying interest on the national debt in the fiscal year-to-date, and the $1.36 trillion committed to defense spending in 2026.

Source: CNBC
Vipi kama akitoa kwenye utajirivwa Mali/biashara zake na sio bajeti nchi??
Na Sheria za Marekani wenzetu wanaruhusiwa kutoa "takrima" Kwa wapiga kura?? Uku sisi tunaambulia buku 5(dola2) na vikofia na vijora Kwa dada zetu Tena kimagendo tu😝😝
 
Iran ni moto wa kuota ukiwa umbali wa kilometers elfu kadhaa
 
Back
Top Bottom