Diason David
JF-Expert Member
- Aug 2, 2018
- 7,557
- 7,367
Labda kwa polisi magari ya washa washa na mabomu ya machozi na usalama wa taifa bila kusahau na madc mrc
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kutumika mbinu zilizotumika kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa hizo asilimia watafikia.
Kuna habari za uchunguzi wangu kuhusu taarifa ya magufuli alipokuwa Zanzibar kwenye usingizi wa hotel ya Bahressa alitamka kuna ndugu yake alipotelea Zanzibar kwa jina NIGO, let taarifa sahihi huyu mzee alifariki na kabla ya kufatilia alihamia Kabuku Tanga kwenye Maeneo ya Kabuku, nimepita na kukutwa na Mwanae anaitwa Mussa yupo Kabuku no yake 0718309239, wajuvi wamwambie muh Magufuli msg zake wanamtafuta kwa No hiiWasalaam, imefahamika chama cha mapinduzi kimejipanga kushinda majimbo yote yanayoshikiliwa na vyama vya upinzani liwake jua inyeshe mvua wenyewe wanaimba "wembe ni ule ule" hapa wanamaanisha wembe ule uliotumika ktk uchaguzi WA serikali za mitaa ndio utatumika ktk uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani, kitachofanyika utageuzwa upande wa pili.
Nasema haya ni utabiri wangu, kwa maana hata sasa ninapoandika ccm pekee ndio wanaofanya siasa za mtaa kwa mtaa wakilindwa na polisi na nimarafuku kwa vyama vingine vyote kufanya siasa. Ushahidi wa kwanza ni kesi za uchochezi zinazowakabili taribani viongozi wote waandamizi wa vyama vya upinzani, ushahidi wa pili kuwa ccm itashinda 99.9 asilimia ni uchaguzi uliopita wa serikali za mitaa ambao ulikua ni wa chama kimoja.
Siku zote historia hujirudia, Natabiri.