Uchaguzi 2020 Kuelekea uchanguzi mkuu: ccm kushinda kwa asilimia99.9

Labda kwa polisi magari ya washa washa na mabomu ya machozi na usalama wa taifa bila kusahau na madc mrc
 
Kwa kutumika mbinu zilizotumika kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa hizo asilimia watafikia.

Hivi inasaidia vipi nchi chama kushinda kwa 99% kama tunajua fika upinzani ulipata 40% miaka mitano tu imepita. CCM inaongoza bunge na serikali wanaosema kishabiki kama vipi kuna lipya litatokea lipi😂
 
Kuna habari za uchunguzi wangu kuhusu taarifa ya magufuli alipokuwa Zanzibar kwenye usingizi wa hotel ya Bahressa alitamka kuna ndugu yake alipotelea Zanzibar kwa jina NIGO, let taarifa sahihi huyu mzee alifariki na kabla ya kufatilia alihamia Kabuku Tanga kwenye Maeneo ya Kabuku, nimepita na kukutwa na Mwanae anaitwa Mussa yupo Kabuku no yake 0718309239, wajuvi wamwambie muh Magufuli msg zake wanamtafuta kwa No hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…