Kirikou Wa Kwanza
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 3,564
- 1,991
Any question brooo najua mtaanza kuirespect hii timuSijaona Team ya kuifunga Juventus kwa msimu huu.
Team Juventus, Ushindi nje nje.
PoleeeForza juveee
Poleni sana vamos madridSami khedira na pijanic lazma wamuonyeshe kaz cassemiro
Umeshajua nani kibonde sadaKati ya real Madrid na juve nani ambae ni kibonde kwa mwenzie!?
Pole juve kapigwa 4 kafundishwa mpiraMadrid atapigwa goli za chap chap alafu wabishi wa turin, watacheza mchezo wao wakihuni naposema mchezo wa kihuni kama hua unafatilia na kuitazama juve basi utakua umenielewa murua.
Juve 2-0 madrid.
Tu tu tu tu tu Juuuveee Juve!
Tu tu tu tu tu Juuuveee Juve
Tu tu Juve..Tu tu Juvee