Kuelekea UEFA champions league final

Kuelekea UEFA champions league final

Kwa wenye azam tv chanel no 134 KTN game liko live
 
udwanz tu bora wangetuacha wenyew tukomae na warembo hawa, tumewaamin kumbe chenga tu
 
Congratulations Real Madrid.
Acha tuendelee kuitwa timu ya fainali maana kila final I tunapigwa 3-1.Uwezo unaishia halo,over and out.
 
Madrid atapigwa goli za chap chap alafu wabishi wa turin, watacheza mchezo wao wakihuni naposema mchezo wa kihuni kama hua unafatilia na kuitazama juve basi utakua umenielewa murua.
Juve 2-0 madrid.
Pole juve kapigwa 4 kafundishwa mpira
 
Ronaldo ni jini aisee khaaa buffon kawaza na kustaafu leo leo hahhaaa CR7 HALAAA
 
Back
Top Bottom