Madrid atapigwa goli za chap chap alafu wabishi wa turin, watacheza mchezo wao wakihuni naposema mchezo wa kihuni kama hua unafatilia na kuitazama juve basi utakua umenielewa murua.
Juve 2-0 madrid.
Jumamosi itakua siku mbaya sana kwa Zidane na mashabiki wa madrid,Madrid atapigwa goli la mapema sana.
Sioni mtu wa kupenya ukuta wa chuma wa Juventus chini ya beki katili Chielini.
Kule Mbele tunamwacha mtu mrefu Mandzukic,Ramos akileta mieleka yake atakula red mapema sana.
Kibibi Kizee cha turin twende kazi
Poleni, naona mlivyojawa na nyongo kooni...To be honesty, kama ikitokea Madrid akashinda basi itakuwa imetokea tu, lakini kiuhalisia msimu huu UEFA hakuna timu ya kupambana na Juve na wakatoka salama. Hakuna,
"Labda itokee tu" in Sheikh Kipoozeo voice.
Poleni, naona mlivyojawa na nyongo kooni...
Mitulinga miwili ya cr7 tu chali...
Nimeona nikitaja yote mtaning'inia..!!
Ta LA LA..storia di un grande amooreVp bado unashangilia? Maana mpira umeisha ...bwah ha ha ha.
RM na Man U ni maswahiba...Hongera RMA, leo kwa kweli wameupiga mwingi asee, Juventus sijui imekuwaje leo. Anyways hapa nafikiria tu UEFA Super Cup vs timu yangu pendwa ya Manchester United, sijui tutafungwa ngapi maana sio kwa mpira huu wa Madrid.
Hongera zenu RMA.
HongeraUmeshajua nani kibonde sada
RM na Man U ni maswahiba...
Wanajuana kwa vilemba vyao
Nahisi njia za magoli umezionaKama upo akilini mwangu vile, sijui Madrid watapata goli kwa njia gani kwa kweli.
Pole juve kapigwa 4 kafundishwa mpira
Nashukuru ukweli niliokuwa nausema ulidhihiri ila siku hiyo nilipigwa ban,imeisha leo.Sikuweza kujumuika na Madridsta wenzangu hapa jamvini.Yote kwa yote timu bora duniani imechukua kombe kwa ekodi kibao.Wale waka talunya walimtegemea sana bibi kizee,lkn bibi naye nguvu zilimuishia .Poleni wenye chuki na Real