Kuelekea UEFA champions league final

Kuelekea UEFA champions league final

Madrid atapigwa goli za chap chap alafu wabishi wa turin, watacheza mchezo wao wakihuni naposema mchezo wa kihuni kama hua unafatilia na kuitazama juve basi utakua umenielewa murua.
Juve 2-0 madrid.

Jumamosi itakua siku mbaya sana kwa Zidane na mashabiki wa madrid,Madrid atapigwa goli la mapema sana.

Sioni mtu wa kupenya ukuta wa chuma wa Juventus chini ya beki katili Chielini.

Kule Mbele tunamwacha mtu mrefu Mandzukic,Ramos akileta mieleka yake atakula red mapema sana.

Kibibi Kizee cha turin twende kazi

To be honesty, kama ikitokea Madrid akashinda basi itakuwa imetokea tu, lakini kiuhalisia msimu huu UEFA hakuna timu ya kupambana na Juve na wakatoka salama. Hakuna,

"Labda itokee tu" in Sheikh Kipoozeo voice.
Poleni, naona mlivyojawa na nyongo kooni...
Mitulinga miwili ya cr7 tu chali...
Nimeona nikitaja yote mtaning'inia..!!
 
Poleni, naona mlivyojawa na nyongo kooni...
Mitulinga miwili ya cr7 tu chali...
Nimeona nikitaja yote mtaning'inia..!!

Hongera RMA, leo kwa kweli wameupiga mwingi asee, Juventus sijui imekuwaje leo. Anyways hapa nafikiria tu UEFA Super Cup vs timu yangu pendwa ya Manchester United, sijui tutafungwa ngapi maana sio kwa mpira huu wa Madrid.

Hongera zenu RMA.
 
Dah ilikuwa game rahisi kwa Madrid
 
Vp bado unashangilia? Maana mpira umeisha ...bwah ha ha ha.
Ta LA LA..storia di un grande amoore
Bianco che abbraccia I'll neeeero
Toro che si alza davveeeero
Juve per sempre Sara
Juve per sempre Sara
Juventus per sempre saraaaaaa..

Juve forever,congrats to all true fans of Real Madrid,who feel proud of their team like how I feel proud of my Juve.It has been 22 years now since I started cheering Juve,and I'm used to this,Dortmund,Real,Milan,down to serie b,back in serie a,Barca and now Real..still with my black and white strips..tale of a great love(storia di un grande amore).
 
Hongera RMA, leo kwa kweli wameupiga mwingi asee, Juventus sijui imekuwaje leo. Anyways hapa nafikiria tu UEFA Super Cup vs timu yangu pendwa ya Manchester United, sijui tutafungwa ngapi maana sio kwa mpira huu wa Madrid.

Hongera zenu RMA.
RM na Man U ni maswahiba...
Wanajuana kwa vilemba vyao
 
Poleni wenye chuki na Real
Nashukuru ukweli niliokuwa nausema ulidhihiri ila siku hiyo nilipigwa ban,imeisha leo.Sikuweza kujumuika na Madridsta wenzangu hapa jamvini.Yote kwa yote timu bora duniani imechukua kombe kwa ekodi kibao.Wale waka talunya walimtegemea sana bibi kizee,lkn bibi naye nguvu zilimuishia .
 
Back
Top Bottom