Nabii asiyefanya unabii kwao. Eti hafanyi show za ndani alafu mnashangaa kuzindulia album kenyaNabii hakubariki kwao...wakenya wajanja sana kwenye fursa wao wameiona fursa safaricom na makampun mengine yameweka pesa nyingi kwenye hiyo event.
sisi watz tunapambana kuakikisha huyu jamaa anapotea mazima ata kama haitatunufaisha ila roho za kiswahili zimetujaa.
Yeye mwenyewe sio mzalendo kwa kushindwa kufanya show za ndaniWatanzania uzalendo hakuna,bora auze huko tu kwanza ndo wanamoyo wakununua,lakini bongo pirate kibao,unatoa Album cku moja tu washaanza kuiburn..tunasikitisha sana wabongo.
Vanessa Mdee alizundila hapa TZ, vipi kampuni za kitanzania zilijitokeza kufanya biashara kama hizo unazosema zimefanyika Kenya??
Alikaa pale M City mwenyewe akaamua kufanya umachinga wa kuuza album yake. Makampuni ya kutanzania yako kichovu sana.
Na sasahv anapiga promo mbuga za wanyama za kenya,wakenya wameona fulsa..safaricom pia.Naam, basi Diamond akazindulie popote anapoona kuna maslahi.
Na sasahv anapiga promo mbuga za wanyama za kenya,wakenya wameona fulsa..safaricom pia.
Afanye show za ndani hata kama ni za laki 7?Yeye mwenyewe sio mzalendo kwa kushindwa kufanya show za ndani
Hiyo laki 7 ndo uzalendo wenyewe. Mnaimba uzalendo wakati nyie wenyewe sio wazalendoAfanye show za ndani hata kama ni za laki 7?
Kwa hiyo uzalendo maanake kuumizana,laki hiyo 7 kwa timu ile ya madensa,wapiga picha na yeye mwenyewe anaigawa vipi na hapo bado hajavaa yeye na madensa wake au unaongea hivyo kwa sababu sio biashara yako .Hiyo laki 7 ndo uzalendo wenyewe. Mnaimba uzalendo wakati nyie wenyewe sio wazalendo
Laki saba inamaana ma manager 3,dancers 5,mpigaga picha,bodyguard nk watagawana vipi? Na baada ya mgao huo ataweza kumlipa Rick ross kolabo kweli? Je ataweza kushuti video kali kwa gharama hizo bila kusahau kuna wasanii wadogo anaowainua wanahitaji msaada wake. Uzalendo unaanza kwa kupenda chako kwanza tumpende daimond tumlipe vizuri ili azidi kusaidia na wengine na kufisha mziki wetu mbali sio yeye atumie gharama zake sisi tumtumie kwa malipo finyu kisa uzalendo.Hiyo laki 7 ndo uzalendo wenyewe. Mnaimba uzalendo wakati nyie wenyewe sio wazalendo
Hiyo laki 7 ndo uzalendo wenyewe. Mnaimba uzalendo wakati nyie wenyewe sio wazalendo
UZALENDO SOI KUAMBUKIZANA UMASKINI,,,Hiyo laki 7 ndo uzalendo wenyewe. Mnaimba uzalendo wakati nyie wenyewe sio wazalendo
Mfano mzuri na hapo bado bodi ya mikopo katika hela hiyo hiyo wanataka chao.Umesoma, umepata degree, kisha ujekufanya kazi serekalini kwa mshahara wa 150,000/= kwa mwezi kisa uzalendo?
Tena usichokijua huyo jamaa ukute amanpinga magufuli balaa wakati hata nae anatangaza uzalendo[emoji2] [emoji2]Umesoma, umepata degree, kisha ujekufanya kazi serekalini kwa mshahara wa 150,000/= kwa mwezi kisa uzalendo?
Msilalamike sasa kama mnalijua hilo. Mnajua watanzania ni masikini alafu mnalalamikaUZALENDO SOI KUAMBUKIZANA UMASKINI,,,
Kwa hiyo unataka wote tuwe masikini.Msilalamike sasa kama mnalijua hilo. Mnajua watanzania ni masikini alafu mnalalamika
Sioni logic yoyote iliyopo kati ya uzalendo na umasikini.Msilalamike sasa kama mnalijua hilo. Mnajua watanzania ni masikini alafu mnalalamika