Kuelekea uzinduzi wa Album ya A boy from Tandale ya Diamond

Kuelekea uzinduzi wa Album ya A boy from Tandale ya Diamond

Nabii hakubariki kwao...wakenya wajanja sana kwenye fursa wao wameiona fursa safaricom na makampun mengine yameweka pesa nyingi kwenye hiyo event.

sisi watz tunapambana kuakikisha huyu jamaa anapotea mazima ata kama haitatunufaisha ila roho za kiswahili zimetujaa.
Nabii asiyefanya unabii kwao. Eti hafanyi show za ndani alafu mnashangaa kuzindulia album kenya
 
Watanzania uzalendo hakuna,bora auze huko tu kwanza ndo wanamoyo wakununua,lakini bongo pirate kibao,unatoa Album cku moja tu washaanza kuiburn..tunasikitisha sana wabongo.
Yeye mwenyewe sio mzalendo kwa kushindwa kufanya show za ndani
 
Mbona show za ndani anafanya,kafanya uwanja wa taifa mwaka jana na Juzi Mwembe yanga na bado kuna WASAFI tour itakayofanyika mda si mrefu ,sasa mnataka afanye show gani,hii biashara ya watu muacheni apige hela kama nyinyi hamjui thamani yake ,wakenya wamewaonyesha thamani ya msanii inavyotakiwa kuwa,si wabongo tuendele na majungu,fitina na wivu usiokuwa na msingi ndicho tunachokijua sisi.
 
Hiyo laki 7 ndo uzalendo wenyewe. Mnaimba uzalendo wakati nyie wenyewe sio wazalendo
Kwa hiyo uzalendo maanake kuumizana,laki hiyo 7 kwa timu ile ya madensa,wapiga picha na yeye mwenyewe anaigawa vipi na hapo bado hajavaa yeye na madensa wake au unaongea hivyo kwa sababu sio biashara yako .
 
Hiyo laki 7 ndo uzalendo wenyewe. Mnaimba uzalendo wakati nyie wenyewe sio wazalendo
Laki saba inamaana ma manager 3,dancers 5,mpigaga picha,bodyguard nk watagawana vipi? Na baada ya mgao huo ataweza kumlipa Rick ross kolabo kweli? Je ataweza kushuti video kali kwa gharama hizo bila kusahau kuna wasanii wadogo anaowainua wanahitaji msaada wake. Uzalendo unaanza kwa kupenda chako kwanza tumpende daimond tumlipe vizuri ili azidi kusaidia na wengine na kufisha mziki wetu mbali sio yeye atumie gharama zake sisi tumtumie kwa malipo finyu kisa uzalendo.
 
Tatizo sisi wabongo tumekalia kuamushiana majungu na miwivu isiyo kuwa Na lazima, hingera diamond kwa kwenda Kenya make naona kama vile nabii hakubaliki kwao
 
Umesoma, umepata degree, kisha ujekufanya kazi serekalini kwa mshahara wa 150,000/= kwa mwezi kisa uzalendo?
Tena usichokijua huyo jamaa ukute amanpinga magufuli balaa wakati hata nae anatangaza uzalendo[emoji2] [emoji2]
 
Msilalamike sasa kama mnalijua hilo. Mnajua watanzania ni masikini alafu mnalalamika
Sioni logic yoyote iliyopo kati ya uzalendo na umasikini.

Daimondi kaonyesha uzalendo kwa kuzindua album yake east africa, kila siku mnahubiri kuhusu soko la africa mashariki mara " ooo watanzania tuchangamkie fursa zilizopo afrika mashariki sio tuwaachie tu wakenya na wanyarwanda" .

Leo msanii wetu kaona fursa ya kumuingizia pesa ndefu mnaanza kulialia uzalendo, mwacheni kijana afanye kazi.
 
Back
Top Bottom