Kuelekea (VALENTINE)siku ya wapendanao je ni siku ya sex au kuonesha upendo kwa uwapendao

Kuelekea (VALENTINE)siku ya wapendanao je ni siku ya sex au kuonesha upendo kwa uwapendao

yuda75

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2020
Posts
520
Reaction score
1,385
nasikiaga siku hizi gest huwa zinajaaa sana na mambukizi ya
magonjwa ya zina huongezeka kwa kasi sana

je hi siku ni kwaajili ya nini haswa je ni sex au kuonesha upendo kwa kutoa zawadi kwa ndugu
jama na marafiki uwapendao
 
nasikiaga hi siku gest huwa zinajaaa sana na mambokiza ya
magonjwa ya zina huongezeka kwa kasi sana

je hi siku ni kwaajili ya nini haswa je ni sex au kuonesha upendo kwa kutoa zawadi kwa ndugu
jama na marafiki uwapendao
Jifunze kuandika vizuri then urejee.
 
nasikiaga siku hizi gest huwa zinajaaa sana na mambukizi ya
magonjwa ya zina huongezeka kwa kasi sana

je hi siku ni kwaajili ya nini haswa je ni sex au kuonesha upendo kwa kutoa zawadi kwa ndugu
jama na marafiki uwapendao
Hiyo ni siku ya freemason ya kufanya maasi na machukizo.
 
Jifunze kuandika vizuri then urejee.
Ndio maana huwa tunafeli umesoma ujumbe umeuelewa kwani ni lazima kukosoa ok anyway

Ndio siku kweli ya maambukizi na vijan wengi ndio siku ambayo hudhani ni lazima kushiriki ngono
 
Siku ya kuonyesha Upendo kwa ndugu jamaa na marafiki.

Kungonoka kujiendekeza tu.
 
Mie siku ya valentine day nikiwa busy chumvini![emoji1][emoji1][emoji1]
4321890.jpg
 
Back
Top Bottom