Kuelekea Valentines day nimeamua kuonyesha 'love' kwa hawa

Kuelekea Valentines day nimeamua kuonyesha 'love' kwa hawa

Teh teh...Yeah uwa ananichekesha na majibu yake ya Pumba...

Sasa si umtaje tu mkuu ili na sisi wengine tumjue? Au unataka tu uwe unacheka peke yako kwa hayo majibu yake ya pumba?
 
Nani huyo mkuu? Kumbe kuna watu humu JF bado tu wanatumia ID zaidi ya moja? Hivi ni kwanini wanakuwa hivi? Hawajui kuwa WANATUCHANGANYA? Mkuu naungana na wewe kabisa kwani kuna wegine tumeshawazoea na ID zao ZOEFU humu sasa wanapokuja tena na mpya kiasi fulani ZINATUTESA. Kwanini hivi wasiwe tu kama mimi La Brujita mwenye ID hii hii tu humu JF tokea nijiunge humu mwaka jana?
Hahahaha ushaanza bangi zako
 
Zimwendee kipenzi changu Nifah popote pale alipo
Wow!!!Thanks bae,wajua nilitaka kukutumia nikaona bora nisome comments kwanza japo nimenuna ulivyoniwahi.
Much love to you!!
 
☺☺☺☺☺
1455021991451.jpg
 
Back
Top Bottom