Ha haaa myb yesNahisi ulikuwa unataka kumalizia ziende kwa La Brujita au?
Teh teh...Yeah uwa ananichekesha na majibu yake ya Pumba...
Hahahaha ushaanza bangi zakoNani huyo mkuu? Kumbe kuna watu humu JF bado tu wanatumia ID zaidi ya moja? Hivi ni kwanini wanakuwa hivi? Hawajui kuwa WANATUCHANGANYA? Mkuu naungana na wewe kabisa kwani kuna wegine tumeshawazoea na ID zao ZOEFU humu sasa wanapokuja tena na mpya kiasi fulani ZINATUTESA. Kwanini hivi wasiwe tu kama mimi La Brujita mwenye ID hii hii tu humu JF tokea nijiunge humu mwaka jana?
Kuna POPOMA aliyetukuka ndo ana tabia hizoSasa si umtaje tu mkuu ili na sisi wengine tumjue? Au unataka tu uwe unacheka peke yako kwa hayo majibu yake ya pumba?
zangu zikufikie wewe rafiki yangu La Brujita
Kuna POPOMA aliyetukuka ndo ana tabia hizo
Mkuu huko kwenu Google not richabo??...Embu jaribu kugooglePOPOMA ndiyo nini mkuu? Halafu hilo neno ALIYETUKUKA unataka kumaanisha nini labda?
Mkuu huko kwenu Google not richabo??...Embu jaribu kugoogle
Wow!!!Thanks bae,wajua nilitaka kukutumia nikaona bora nisome comments kwanza japo nimenuna ulivyoniwahi.Zimwendee kipenzi changu Nifah popote pale alipo
Hahahahaaa dah nimecheka sana.Huyu si yule rafiki yako ALIYETUKUKA
Teh teh..Kashaanza kutukana..Nimeamua nimwacheHahahahaaa dah nimecheka sana.
Teh teh..Kashaanza kutukana..Nimeamua nimwache
Hahaha usinune babyWow!!!Thanks bae,wajua nilitaka kukutumia nikaona bora nisome comments kwanza japo nimenuna ulivyoniwahi.
Much love to you!!