Mungu ibariki Simba S.C.. Pia usiwasahau na vijana wako toka Manungu.
Mungu ibariki Simba S.C.. Pia usiwasahau na vijana wako toka Manungu.
Mungu ibariki stend united...simba walishapigwa shavu la kushoto eeeh Mungu wakumbushe kupigwa na la kulia!
Wa mchangani kumbe wameing'ang'ania nafasi yao ya nne.
Wakomae wasije pokonywa na Stand United
Mkuu katika siku za mwanzoni mwanzoni mwa ligi ya EPL, Man Untd ilikua inacheza nafasi ya 6 au 7.. Lakini sasa ndo inaongoza ligi [maajabu yaliyoje].. Hivyo kua na subira.. tunakuja kuchukua nafasi yetu.
Ule ukuta wa chuma uliokuwa unausema kwenye pre-season naona umeanza kutobolewa mapema,Simba huwa wakishinda ni mfululizo na wakianza kufungwa ni hivyo hivyo
Hahaha... Ila kumbuka hugawa sawa kwa waja wake.. Kesho ni zamu yetu.