Kuelekea VPL Match day 5: Ratiba ya Mechi na Msimamo wa Ligi

sembo

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
4,350
Reaction score
3,451
Katikati ya wiki hii [Jumatano na Alhamisi].. Vodacom Premier League itaendelea katika viwanja mbali mbali nchini.. na ratiba kamili ni hii hapa..

1443533784371.jpg

Kipindi tunaendelea kutafakari yale yote yaliyotokea weekend iliyopita.. Hebu tujikumbushe msimamo wa ligi ulivyo hivi sasa..

1443533860975.jpg
 
Mungu ibariki Simba S.C.. Pia usiwasahau na vijana wako toka Manungu.
 
Mungu ibariki stend united...simba walishapigwa shavu la kushoto eeeh Mungu wakumbushe kupigwa na la kulia!
 
Wa mchangani kumbe wameing'ang'ania nafasi yao ya nne.
Wakomae wasije pokonywa na Stand United
 
Mkuu katika siku za mwanzoni mwanzoni mwa ligi ya EPL, Man Untd ilikua inacheza nafasi ya 6 au 7.. Lakini sasa ndo inaongoza ligi [maajabu yaliyoje].. Hivyo kua na subira.. tunakuja kuchukua nafasi yetu.
 
Ule ukuta wa chuma uliokuwa unausema kwenye pre-season naona umeanza kutobolewa mapema,Simba huwa wakishinda ni mfululizo na wakianza kufungwa ni hivyo hivyo
 
Mkuu si ukuta wa Chuma ni "Great Wall Of China"... Ulipata mushkeri kidogo mechi iliyopita.. Kocha mwenye leseni A ya ukocha toka UEFA, kashafix tatizo.. Tegemea kesho kushuhudia defensive line iliyo imara zaidi.. Na usitegemee kushuhudia shot on goal katika lango letu zaidi ya 1 ndani ya Dk. 90.
 
Ule ukuta wa chuma uliokuwa unausema kwenye pre-season naona umeanza kutobolewa mapema,Simba huwa wakishinda ni mfululizo na wakianza kufungwa ni hivyo hivyo

Mkuu Belo jana ulifanikiwa kushuhudia Great Wall of China?
 
Last edited by a moderator:

Sifa unazoipa timu yako hazistahili na mpira tunaouona uwanjani, great wall against Stand United ?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom