asubuhi sana
JF-Expert Member
- Mar 18, 2015
- 1,667
- 1,411
Kuelekea mechi za Ligi weekend hii.. (WakuBet)..
Liv'pool vs ManUtd
-Mafahari wakubwa wawili wa Malkia., kimsingi mechi itakuwa ngumu kama ukubwa wa timu zao zilivyo.., Liverpool hawana matokeo ya kuridhisha kabla ya game hii.. (katika mechi katika mechi 5 wameshinda 1 sare 3 huku wakifungwa 1) huku United wao wakishinda zote katika mechi 5 zilizopita..,Wao kwa Wao United kashinda game 2 na sare 3 katika mechi 5 za mwisho..
Kutokana na uchovu wa michuano ya kimataifa na presha ya mechi yenyewe.., Chaguo sahihi la mechi hii ni KUFUNGANA (GG)..
Burnley vs West Ham
-Kwa kuangalia matokeo ya nyuma baina yao.., West Ham ameshinda mechi zote kati ya 5 alizokutana na Burnley.., Hii hainifanyi nimuamini sana West Ham kwamaana hana matokeo mazuri sana toka msimu huu uanze.., West Ham wa miaka 2 nyuma sio huyu...,
Nafikiri chaguo sahihi kwa hii mechi ni KUFUNGANA (GG).., hii ni kutokana na uwezo wa WestHam kuziotea nyavu za Burnley kila wakutanapo huku nikiamini Burnley uwezo wao wa kutengeneza nafasi haswa wawapo kwenye uwanja wao wa nyumbani..
Crystal Palace vs Chelsea
-Palace hawajashinda mchezo hata mmoja wa ligi tangu msimu uanze.., huku nikiamini kuwa Palace ni moja ya timu zinazowasumbua sana Chelsea.., lakini kwa ubora wa kikosi walicho nacho Chelsea huku wakipoteza mechi yao yao iliyopita.., Chaguo sahihi kwa mechi hii ni kuwapa Chelsea ushindi (WIN)..
ManCity vs Stock City
-Kwa ubora walionao vijana wa Pep kwasasa.., na kwanamna wanavyohitaji hili kombe kwasasa sioni kama vijana wa Hughes wataweza kuwazuia ManCity pale kwa Etihad..
Chaguo sahihi ni ManCity Win and Over 2.5..
Swansea vs Huddersfield
=Swansea City hawana matokeo mazuri mwanzoni mwa ligi.., Huddersfield wameonesha ukomavu kama wageni kwenye ligi ila sio wa kuwapa 100%..
Chaguo sahihi kwa mechi hii ni UNDER 2.5. (Magoli yasizidi 3 kwa mechi nzima)..
Tottenham vs Bournemouth
-Kimsingi Spurs yuko vizuri zaidi mbele ya Bournemouth.., katika mechi zote walizokutana ambazo Spurs amaeshinda ilikuwa ni ushindi wa zaidi ya magoli 3..
Chaguo sahihi hapa ni kumpa Spurs ushindi na goli Over 2.5..
Watford vs Arsenal
-Watford wamekuwa wasumbufu sana kwenye ligi hii kwasasa.., Arsenal walikuwa vizuri sana mwezi uliopita tofauti na mwanzoni mwa ligi.., game nyingi walizokutana wao kwa wao.., mara nyingi zimeisha kwa idadi ya magoli mengi..
Chaguo lililo bora zaidi kwa mechi hii.., ni OVER 2.5 goals..
Brighton vs Everton
-Rekodi zinaonesha hawa jamaa hawajawahi kukutana katika mechi za ushindani.., hiyo isitupe shaka, Everton hawako kwenye ubora ule tuliouzoea tangu msimu uanze vivyo hivyo kwa wageni Brighton ambao ndio wamepanda daraja.., Naamini Everton atarudi vizuri sasa..
Chaguo sahihi ni Everton to WIN..
Southampton vs Newcastle
-Ni mechi ngumu japo Newcastle United hawana matokeo mazuri sana pale St Mary's... Soton huwa wagumu sana kuruhusu nyavu zao kutikiswa haswa wakicheza na timu za kariba yao..
Chaguo sahihi hapa ni Southamton (WIN) ama unaweza weka Under..
Thank You., Best Tips for other leagues to come..