Kuelekea Wydad vs Simba iyo ijumaa hebu tupia utabili wako

Inapaswa kuandika utabiri na sivyo kama ulivyoandika wewe utabili....

Kule wenye nazo ni wawili tu.

AIBU NAONA MIMI.

AMA KWELI UJINGA NI KIPAJI.
 
casablanca tu ze semi faino [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi ni Yanga kindaki ndaki lakini mpira unamatokeo mabaya sana na ya kushangaza ambayo yanaweza kukupata anytym ukabaki unashangaa!! Hata Yanga alivocheza na club african hakuna alieqmini kama angefuzu... hata juzi na liver united hakuna alieamiñi Yanga angedominate mpira na kushinda... kwahio hata Simba wakijipanga vzuri wanaweza shangaza wengi humu
 
Sijaona ile ya mwaka 1993 wydad 9:3 utopolo
 
Manara alisahau kukutaja miongoni mwa wale wawili wenye akili...👊👊
 
Wakienda kijilinda watapingwa 2 tu, lakini wakijifanya wao nao ni timu kubwa idadi ya mikonywe ya pwenza itamhusu.
Kupanga ni kuchagua.
Na ikitokea wamejilinda na mpaka half time bado 0-0 myama atapita kwa mikwaju ya penalti.
Labda ku peter siyo kupita simba hawa wameshaumaliza mwendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…