mwarabu feki
JF-Expert Member
- Feb 16, 2023
- 811
- 1,811
- Thread starter
- #21
Mkuu mbona umewapendelea ilo 1 watalipatia wapi [emoji23][emoji23][emoji23] au unaruhusiwa kuiba goli la mpinzan ukasema ni lakoWydadi 9 .........1 makolo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mbona umewapendelea ilo 1 watalipatia wapi [emoji23][emoji23][emoji23] au unaruhusiwa kuiba goli la mpinzan ukasema ni lakoWydadi 9 .........1 makolo
Sasa nidhamu gani unaweza kuionyesha kwa Janjaweed wakakusamehe wakati umevaa msalaba? Simba walinde goli wasilinde wataoga goli nying tuakicheza kwa nidhamu sawa ila papara kuna mtu anakula red card anabondwa khamsa
hamsa ni chache sana.. siku iyo kuna mtu kupigwa tamaniya!akicheza kwa nidhamu sawa ila papara kuna mtu anakula red card anabondwa khamsa
Rage[emoji3581][emoji3581]Inapaswa kuandika utabiri na sivyo kama ulivyoandika wewe utabili....
Kule wenye nazo ni wawili tu.
AIBU NAONA MIMI.
AMA KWELI UJINGA NI KIPAJI.
Rage[emoji3581]Wydad 1- 3 simba
Rage[emoji3581]SIMBA 3-2 WYDADY
HII UHAKIKA YAANI MWARABU ANAKUFA KWAKE
[emoji3581]Whydad 40 Simba 0
Natabiri Simba atafungwa 2--1 lakini atapita kwa goli la ugenini.
Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
Sijaona ile ya mwaka 1993 wydad 9:3 utopoloHebu tuweke unafiki pembeni, hii game Simba atachapika goli za kutosha si chini ya goli 6+
Wanasimba wote popote walipo wanatetemeka sana maana kila wakiangalia rekodi ya Wydad nyumbani kwao pale Stade Mohamed V inawatisha vibaya
Weka utabiri wako hapa ili tuwasaidie ndugu zetu wale wakubeti wale pesa siku iyo.
Mimi Naanza na utabiri huu hapa chini
(1) Wydad 5-0 simba
(2) Wydad 7-1 simba
(3) Wydad 9-1 simbaView attachment 2599574
Zile khamsa za may 12/2012 bado hazijakutoka kichwaniWydad 5 Simba 0.
Nimemiss sana zile kelele za "Khamsa khamsa!! Wallah wabillah!!" Kutoka kwa watangazaji wao.
Manara alisahau kukutaja miongoni mwa wale wawili wenye akili...👊👊Mimi ni Yanga kindaki ndaki lakini mpira unamatokeo mabaya sana na ya kushangaza ambayo yanaweza kukupata anytym ukabaki unashangaa!! Hata Yanga alivocheza na club african hakuna alieqmini kama angefuzu... hata juzi na liver united hakuna alieamiñi Yanga angedominate mpira na kushinda... kwahio hata Simba wakijipanga vzuri wanaweza shangaza wengi humu
Labda ku peter siyo kupita simba hawa wameshaumaliza mwendoWakienda kijilinda watapingwa 2 tu, lakini wakijifanya wao nao ni timu kubwa idadi ya mikonywe ya pwenza itamhusu.
Kupanga ni kuchagua.
Na ikitokea wamejilinda na mpaka half time bado 0-0 myama atapita kwa mikwaju ya penalti.