Kuelimika ni kuwa na vyeti vingi?

Kuelimika ni kuwa na vyeti vingi?

Upumbavu hautokani na elimu bali unaanziana mtazamo wa mtu mhusika. Unaweza ukawa na elimu ukaonekana mpumbavu na bado unaweza usiwe na elimu ya kutosha ukaonekana mpumbavu.
Wewe unasemaje kwa Hilo???
Kupata elimu ni kitu kingine, na kuelimika na kupata ujuzi ni kitu kingine pia
 
Kwa unavyoelewa wewe maskn wa fikra utakuaje na elimu bila kuelimika. Ukija kwenye kiswahili neno elimu ndo uzaa maneno Kama kuelimika.
Ila nimekuelewa kuelimika ni kujiajiri kutokana na ulivyofundishwa kwenu
 
Elimu uliyopata imekuachia 'technical skill' ya namna gani?
 
Wewe mwenye technical skills una hata kiwanda unamiliki kama sio makelele tu halafu utendaji hamna kitu.
Yaani hata cha kushona nguo hauna halafu hapa makelele mengi
 
Kuna kitu kinaitwa 'massive production', hebu nipe maana yake kwanza
 
Aiseee kuna binadamu ni mizigo humu maofisini, ana mavyeti kibao lakini ufanisi ni zerooo *****. Mpaka unajikuta unabeba mizigo ya wenzio jamani tuelimike ndugu zanguni vyeti sio issue sana.
 
Ufanisi hautokani na vyeti wewe......Bali unatokana na experience kazini
 
Ni kweli mkuu, vyeti vingi ni 'irrelevant' na 'performance'
 
Tunaamini mtu aliyeelimika, anakuwa na uwezo mkubwa wa kutatua changamoto za jamii. Ingawa kuna baadhi ya watu wanaamini, kuwa na vyeti vingi ndio kuelimika; ambapo si kweli.

Kuwa na vyeti vingi bila kuwa na uwezo wa kutatua changamoto za jamii, ni sawa na kusoma magazeti ya udaku na baadaye ukapewa vyeti kwa kufanikiwa kusoma magazeti hayo. Ambapo vyeti vyako vinakuwa havina maana zaidi ya kuthibitisha ulisoma magazeti hayo.

Pia ile dhana ya kusema mimi nimesoma sana, inatakiwa iendane na uwezo wako wa kutatua kero au changamoto za jamii. Vinginevyo, unakuwa huna tofauti na yule aliyesoma magazeti ya udaku na kutunukiwa uthibitisho wa kusoma magazeti hayo.

Pia mtu aliyeelimika uongea kwa kujiamini ‘confidence’ na pia um-‘challenge’ boss wake pale ambapo anaenda ndivyo sivyo. Mtu aliyeelimika huwa hawazi kukosa ugali leo, bali anaamini hata ukimfukuza kazi , yeye ataishi tu, kutokana na uwezo wake mkubwa wa kutatua changamoto za jamii, ikiwa ni pamoja na kujiajiri na utengenezaji wa ajira kwa wengine.

Je, wewe umeelimika?
Huyo mwenye vyeti vingi umempa nafasi ya kutumia hivyo vyeti? Au umewapa nafasi wasio na vyeti wanatoa yao kulingana na uwezo wao na unaona ndio ya msingi? Tusichanganye taaluma na elimu. Tunataka watu wawe na taaluma bila elimu. Wabunge wanahoji muda mrefu anaotumia mtoto shuleni kupata elimu na kuondoka bila taaluma. Tukiwasikiliza wanasiasa na kucheza mziki wao, ipo siku tutakutana na madaktari wa enzi hizo walio rudi na degree zao toka China waliko enda baada ya kumaliza kidato cha 4 na kusoma huko miaka 4!
 
Ufanisi hautokani na vyeti wewe......Bali unatokana na experience kazini
Mkuu nilichokiandika ninakiishi kila siku unakuta mtu ana miaka zaidi ya 10 kazini na CV kubwa ya kuungaunga lakini anakutegemea wewe mwenye mwaka mmoja tu au miwili kazini kwa kila kitu. Mpaka unakuwa na maswali kichwani kwamba kabla yangu hii kenge ilikuwa inafanyaje kazi mpaka unakosa majibu.
 
Sasa kwa swala kama hilo inategemea lakni sio kugeneralize mambo. Hata kwenye msafara wa mamba na kenge wapo
 
Huyo mwenye vyeti vingi umempa nafasi ya kutumia hivyo vyeti? Au umewapa nafasi wasio na vyeti wanatoa yao kulingana na uwezo wao na unaona ndio ya msingi? Tusichanganye taaluma na elimu. Tunataka watu wawe na taaluma bila elimu. Wabunge wanahoji muda mrefu anaotumia mtoto shuleni kupata elimu na kuondoka bila taaluma. Tukiwasikiliza wanasiasa na kucheza mziki wao, ipo siku tutakutana na madaktari wa enzi hizo walio rudi na degree zao toka China waliko enda baada ya kumaliza kidato cha 4 na kusoma huko miaka 4!
Mkuu,unaamini ukimaliza kidato cha nne unaweza kwenda kusomea urubani? Muhimu uwezo wa kulipa ada uwepo.
 
Sasa kwa swala kama hilo inategemea lakni sio kugeneralize mambo. Hata kwenye msafara wa mamba na kenge wapo
Hapo sawa mkuu, lakini ninashauri serikali ingeangalia upya vigezo vya kumpa mtu wazifa mkubwa. Kuna watu ni mizigo hapa bongo boss.
 
Back
Top Bottom