Kuendelea kuishabikia na kuiweka CCM madarakani, ni ukichaa au kurogwa kwa watanzania?

kalisheshe

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2020
Posts
2,477
Reaction score
5,096
Ni kitu kinachoshangaza na kutuumiza vichwa baadhi yetu tulioamua kutumia akili za kuzaliwa watanzania.

1. Mfumo wa kodi ni mbovu mfano kodi ya uagizaji wa magari, haiwezekani kodi iwe sawa au zaidi ya bei ya kununulia gari.

2. Mfumo wa pasport haueleweki

3. Ufisadi ndo usiseme

4. Umasikini unazidi kutamalaki kwenye jamii, kuna maeneo ukifika unaweza kutoa machozi kwa aina ya maisha wanayoishi watanzania wenzetu.

4. Elimu inazidi kuwa duni miundombinu na vifaa vya kujifunzia ni vya karne zilizopita.

5. Maslahi, mifumo ya kodi na pensheni kwa wafanyakazi ni tatizo.

6. Ufisadi, rushwa na nidhamu mbovu kwa watumishi wa umma na viongozi linazidi kuwa tatizo.

7. Miundombinu na huduma za muhimu kwa jamii zimebaki kuwa sehemu ya kupigia kampeni kwa kila uchaguzi.

Cha kujiuliza ni je? Watanzania tuna shida gani vichwani?
 
1. mfumo wa kodi ni mbovu mfano kodi ya uagizaji wa magari, haiwezekani kodi iwe sawa au zaidi ya bei ya kununulia gari.

2. Mfumo wa pasport haueleweki

3. Ufisadi ndo usiseme

4. Umasikini unazidi kutamalaki kwenye jamii, kuna maeneo ukifika unaweza kutoa machozi kwa aina ya maisha wanayoishi watanzania wenzetu.

4. Elimu inazidi kuwa duni miundombinu na vifaa vya kujifunzia ni vya karne zilizopita.

5. Maslahi, mifumo ya kodi na pensheni kwa wafanyakazi ni tatizo.

6. Ufisadi, rushwa na nidhamu mbovu kwa watumishi wa umma na viongozi linazidi kuwa tatizo.

7. Miundombinu na huduma za muhimu kwa jamii zimebaki kuwa sehemu ya kupigia kampeni kwa kila uchaguzi.

Cha kujiuliza ni je? Watanzania tuna shida gani vichwani?

View: https://www.youtube.com/live/CFo3acDUdk4?si=5uISdttXG23lexRu
 
Inaumiza
Tena inaumiza sana

Fikiria mtu anafariki hospitali halafu maiti inaendelea kudaiwa huku pesa za nchi zikichezewa kwenye mambo yasiyo na tija
 
Msikilize huyu🤬🤬🤬🤬
 
Ni kitu kinachoshangaza na kutuumiza vichwa baadhi yetu tulioamua kutumia akili za kuzaliwa watanzania.

1. Mfumo wa kodi ni mbovu mfano kodi ya uagizaji wa magari, haiwezekani kodi iwe sawa au zaidi ya bei ya kununulia gari.

2. Mfumo wa pasport haueleweki

3. Ufisadi ndo usiseme

4. Umasikini unazidi kutamalaki kwenye jamii, kuna maeneo ukifika unaweza kutoa machozi kwa aina ya maisha wanayoishi watanzania wenzetu.

4. Elimu inazidi kuwa duni miundombinu na vifaa vya kujifunzia ni vya karne zilizopita.

5. Maslahi, mifumo ya kodi na pensheni kwa wafanyakazi ni tatizo.

6. Ufisadi, rushwa na nidhamu mbovu kwa watumishi wa umma na viongozi linazidi kuwa tatizo.

7. Miundombinu na huduma za muhimu kwa jamii zimebaki kuwa sehemu ya kupigia kampeni kwa kila uchaguzi.

Cha kujiuliza ni je? Watanzania tuna shida gani vichwani?
Tulipo fikia, ni njia pekee ya kuleta mabadidiliko ni MAPINDUZI YA KIJESHI TU
 
Itakua haupo bongo ww
 
Tulipo fikia, ni njia pekee ya kuleta mabadidiliko ni MAPINDUZI YA KIJESHI TU
Wazani jeshi lina akili za kimihemko kma nyie
Sasa kaongee huu upuuuzi kwenye Kambi yoyote ya jeshi uone kati yako na wao nani mzalendo
 
Inaumiza
Tena inaumiza sana

Fikiria mtu anafariki hospitali halafu maiti inaendelea kudaiwa huku pesa za nchi zikichezewa kwenye mambo yasiyo na tija
Mfano wa kijinga huu
Huezi peleka mtu hospital afu hizo gharama alipe nani?
Mbona kwenye mirathi ya marehemu mnagawana kwann madeni yake msilipe?
 
Back
Top Bottom