kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,477
- 5,096
Ni kitu kinachoshangaza na kutuumiza vichwa baadhi yetu tulioamua kutumia akili za kuzaliwa watanzania.
1. mfumo wa kodi ni mbovu mfano kodi ya uagizaji wa magari, haiwezekani kodi iwe sawa au zaidi ya bei ya kununulia gari.
2. Mfumo wa pasport haueleweki
3. Ufisadi ndo usiseme
4. Umasikini unazidi kutamalaki kwenye jamii, kuna maeneo ukifika unaweza kutoa machozi kwa aina ya maisha wanayoishi watanzania wenzetu.
4. Elimu inazidi kuwa duni miundombinu na vifaa vya kujifunzia ni vya karne zilizopita.
5. Maslahi, mifumo ya kodi na pensheni kwa wafanyakazi ni tatizo.
6. Ufisadi, rushwa na nidhamu mbovu kwa watumishi wa umma na viongozi linazidi kuwa tatizo.
7. Miundombinu na huduma za muhimu kwa jamii zimebaki kuwa sehemu ya kupigia kampeni kwa kila uchaguzi.
Cha kujiuliza ni je? Watanzania tuna shida gani vichwani?
Msikilize huyu🤬🤬🤬🤬Inaumiza
Tena inaumiza sana
Fikiria mtu anafariki hospitali halafu maiti inaendelea kudaiwa huku pesa za nchi zikichezewa kwenye mambo yasiyo na tija
Tulipo fikia, ni njia pekee ya kuleta mabadidiliko ni MAPINDUZI YA KIJESHI TUNi kitu kinachoshangaza na kutuumiza vichwa baadhi yetu tulioamua kutumia akili za kuzaliwa watanzania.
1. Mfumo wa kodi ni mbovu mfano kodi ya uagizaji wa magari, haiwezekani kodi iwe sawa au zaidi ya bei ya kununulia gari.
2. Mfumo wa pasport haueleweki
3. Ufisadi ndo usiseme
4. Umasikini unazidi kutamalaki kwenye jamii, kuna maeneo ukifika unaweza kutoa machozi kwa aina ya maisha wanayoishi watanzania wenzetu.
4. Elimu inazidi kuwa duni miundombinu na vifaa vya kujifunzia ni vya karne zilizopita.
5. Maslahi, mifumo ya kodi na pensheni kwa wafanyakazi ni tatizo.
6. Ufisadi, rushwa na nidhamu mbovu kwa watumishi wa umma na viongozi linazidi kuwa tatizo.
7. Miundombinu na huduma za muhimu kwa jamii zimebaki kuwa sehemu ya kupigia kampeni kwa kila uchaguzi.
Cha kujiuliza ni je? Watanzania tuna shida gani vichwani?
Itakua haupo bongo wwNi kitu kinachoshangaza na kutuumiza vichwa baadhi yetu tulioamua kutumia akili za kuzaliwa watanzania.
1. Mfumo wa kodi ni mbovu mfano kodi ya uagizaji wa magari, haiwezekani kodi iwe sawa au zaidi ya bei ya kununulia gari.
2. Mfumo wa pasport haueleweki
3. Ufisadi ndo usiseme
4. Umasikini unazidi kutamalaki kwenye jamii, kuna maeneo ukifika unaweza kutoa machozi kwa aina ya maisha wanayoishi watanzania wenzetu.
4. Elimu inazidi kuwa duni miundombinu na vifaa vya kujifunzia ni vya karne zilizopita.
5. Maslahi, mifumo ya kodi na pensheni kwa wafanyakazi ni tatizo.
6. Ufisadi, rushwa na nidhamu mbovu kwa watumishi wa umma na viongozi linazidi kuwa tatizo.
7. Miundombinu na huduma za muhimu kwa jamii zimebaki kuwa sehemu ya kupigia kampeni kwa kila uchaguzi.
Cha kujiuliza ni je? Watanzania tuna shida gani vichwani?
Wazani jeshi lina akili za kimihemko kma nyieTulipo fikia, ni njia pekee ya kuleta mabadidiliko ni MAPINDUZI YA KIJESHI TU
Mfano wa kijinga huuInaumiza