Kuendelea kumtaja Hayati Magufuli kwa mabaya ni upuuzi wa ajabu

Kikwette hajaiba kitu. Ni uelewa wako finyu wa ussues
Nakwambia hivi tokea Mkapa,Kikwete hadi Magufuli hakuna rais asiyetuhumiwa na wizi hapo ila wewe unataka kumtetea Kikwete na kutuaminisha alikuwa safi ila rais mwizi ni Magufuli tu.
 
Mbona unawashwa sana wewe mfuate huko kuzimu
Wa kumfuata ni wewe mwenye hasira nae sio mimi, we ushaona mie nafungua uzi humu kumsema au kumsifia Magufuli?

Hizo hasira zenu kwa marehemu ndio mnajikuta tu mnaropoka tu, mtu kama Zitto Kabwe nae alitamka kama hivyo ila siku moja anahojiwa anaulizwa kuhusu ile kauli yake ya kwamba wanaompenda Magufuli wakazikwe nae akakataa kuizungumzia na kukiri ilikuwa hasira tu.
 
Unadhani toka muanze kuyasema hayo maovu ya Magufuli hadi sasa ni kwa kiasi gani watu wamejifunza katika hayo uliyoyaorodhesha? Unaweza ukaeleza ni kwa vp watu wamejifunza na si kwamba wanawaona kuwa mnafanya hivyo kupunguza hasira zenu kwa huyo marehemu?
Rais Samia mwenyewe amekuwa huru sasa na ameshafanya mabadiliko makubwa ya kiuongozi kama vile kurejesha viongozi waliotimuliwa kionevu, kurudisha demokrasia yetu iliyoharibiwa kabisa kijinga na Magufuli na kurekebisha uchumi ulioharibiwa na mikopo mingi iliyotumika kufanya miradi isiyokuwa na tija ya maana. Mandege ya ATCL yapo juu ya mawe na yanagharimu uchumi wetu.

Watu wamejifunza kuwa waadilifu zaidi na kuacha ubabe na kutumia madaraka vibaya; Sabaya ni mfano mzuri wa uongozi mbovu kabisa wa Magufuli.
 
Tusingekuwa tunaona majibu ya dharau kwa wananchi kutoka kwa mawaziri kama Nape na Mwigulu, na Samia ndio kwanza anawaita hao wananchi kuwa wenye akili za kawaida(hawana akili) na ndio maana yupo kimya pamoja na malalamiko yote.

Katika wote waliyostahili kukamatwa kakamatwa Sabaya ila akina Makonda wapo uraiani na wengine Samia kawapa vyeo kabisa wanakula mema ya nchi.
 
Wa kumfuata ni wewe mwenye hasira nae sio mimi, we ushaona mie nafungua uzi humu kumsema au kumsifia Magufuli?

Hizo hasira zenu kwa marehemu ndio mnajikuta tu mnaropoka tu, mtu kama Zitto Kabwe nae alitamka kama hivyo ila siku moja anahojiwa anaulizwa kuhusu ile kauli yake ya kwamba wanaompenda Magufuli wakazikwe nae akakataa kuizungumzia na kukiri ilikuwa hasira tu.
Mimi ninafurahia kwamba yuko motoni halafu nimfuate tena una wazimu wewe. Wewe unayejifanya mtetezi wake ndiyo umfuate
 
Sasa si una hasira nae kwa aliyoyafanya nenda ukaongeze kuni ili achomeke vizuri zaidi kuliko kukaa hapa na stress zinazokufanya kumsema kila muda.

Utaona namtetea kwa sababu wewe mwenye hasira nae kutwa unamtaja ila kama ungekuwa humtaji unadhani nami ungeona namtetea? Ila cha kusikitisha wewe hauwezi kuacha kumtaja maana amekutenda kwa namna moja ama nyengine ndio maana una hasira nae.
 
Unadhani toka muanze kuyasema hayo maovu ya Magufuli hadi sasa ni kwa kiasi gani watu wamejifunza katika hayo uliyoyaorodhesha? Unaweza ukaeleza ni kwa vp watu wamejifunza na si kwamba wanawaona kuwa mnafanya hivyo kupunguza hasira zenu kwa huyo marehemu?
Ila we jamaa unajizima data kabisa, mambo yote hayo kumi aliyokuorodheshea yanaendelea kuwa funzo hadi muda huu halafu wewe unajifanya hauoni, eti uoneshwe! Aliyekufa kafa Matendo yake Ndiyo barua yake kwa waliobaki acha watu waseme.

Ni kweli tumejifunza mengi kwa kuendelea kusikia Matendo ya Magu kama aliyekuwa Rais. Na hayo kumi uliyoorodheshewa ni sahihi na mengine mengi.
 
Anaandika, Robert Heriel

Sikuwa mshabiki wa Magufuli Kutokana na namna alivyokuwa anaongoza, sisemi Kuwa Magufuli hakuwa na mambo Mema aliyoyafanya, yapo mengi mazuri Sana hasa ya miundombinu, lakini pia yapo Mabaya ambayo aidha aliyafanya au kuyafumbia macho, ambayo ndio yalinifanya nimuone kama kiongozi asiyefaa.

Ninashangazwa na kile kinachoendelea hasa Kwa upande wa Upinzani kuendelea kumtaja taja MTU ambaye tayari anasiku nyingi ameshafariki.

Wabaya Waliohai wapo wengi, Kwa nini mhangaike na Watu waliokwisha Kufa wasio na chochote cha kuchangia katika Ulimwengu wa Waliohai? Wema Waliohai pia wapo wengi.

Hatuwezi kuongoza nchi Kwa kuangalia Wafu, na hatutataka nchi yetu iongozwe na watu wenye mawazo na Matendo ya Wafu.

Tunahitaji viongozi ambao wanaongoza nchi Kwa kuangalia Maisha ya kizazi kijacho kitaishije,
Nchi inaongozwa Kwa mahitaji yajayo sio mahitaji yaliyopita. Nchi inaongozwa Kwa maslahi ya Watu wa kesho sio Kwa maslahi ya Watu wa Jana na juzi waliokwisha Kufa.

Wanaoishi Wasiwe watumwa wa Wafu, Watu waliokwisha Kufa. Hivyo ndivyo taifa hili linapaswa kujengwa na kuongozwa. Kwa sababu tunaenda Mbele na sio Nyuma.

Sijui Fulani alikuwa Nani akasema nini, hiyo haina maana yoyote Kwa wakati au kizazi kijacho, kitakachoangaliwa ni manufaa ya kizazi kijacho.

Hata Mungu tunayemuabudu ni MUNGU aliyehai na Mungu wa Waliohai sio Mungu wa Wafu.

Wanasiasa mnaomtaja taja Magufuli Kwa ubaya mnayohaja ya kujitafakari, kama mnaagenda zenu za Siri Sawa lakini eleweni kuwa haitasaidia Jambo LOLOTE lile.

Acha nipumzike SASA.

Robert Heriel,
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa Makanya, Same, Kilimanjaro.
Huo ni mpango mkakati wa kuendelea kumzika hayati ili kung'oa kabisa chembechembe alizozipandikiza Kwa "wanyonge" kupitia propaganda zake akiwa hai.

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
Anaandika, Robert Heriel

Sikuwa mshabiki wa Magufuli Kutokana na namna alivyokuwa anaongoza, sisemi Kuwa Magufuli hakuwa na mambo Mema aliyoyafanya, yapo mengi mazuri Sana hasa ya miundombinu, lakini pia yapo Mabaya ambayo aidha aliyafanya au kuyafumbia macho, ambayo ndio yalinifanya nimuone kama kiongozi asiyefaa.

Ninashangazwa na kile kinachoendelea hasa Kwa upande wa Upinzani kuendelea kumtaja taja MTU ambaye tayari anasiku nyingi ameshafariki.

Wabaya Waliohai wapo wengi, Kwa nini mhangaike na Watu waliokwisha Kufa wasio na chochote cha kuchangia katika Ulimwengu wa Waliohai? Wema Waliohai pia wapo wengi.

Hatuwezi kuongoza nchi Kwa kuangalia Wafu, na hatutataka nchi yetu iongozwe na watu wenye mawazo na Matendo ya Wafu.

Tunahitaji viongozi ambao wanaongoza nchi Kwa kuangalia Maisha ya kizazi kijacho kitaishije,
Nchi inaongozwa Kwa mahitaji yajayo sio mahitaji yaliyopita. Nchi inaongozwa Kwa maslahi ya Watu wa kesho sio Kwa maslahi ya Watu wa Jana na juzi waliokwisha Kufa.

Wanaoishi Wasiwe watumwa wa Wafu, Watu waliokwisha Kufa. Hivyo ndivyo taifa hili linapaswa kujengwa na kuongozwa. Kwa sababu tunaenda Mbele na sio Nyuma.

Sijui Fulani alikuwa Nani akasema nini, hiyo haina maana yoyote Kwa wakati au kizazi kijacho, kitakachoangaliwa ni manufaa ya kizazi kijacho.

Hata Mungu tunayemuabudu ni MUNGU aliyehai na Mungu wa Waliohai sio Mungu wa Wafu.

Wanasiasa mnaomtaja taja Magufuli Kwa ubaya mnayohaja ya kujitafakari, kama mnaagenda zenu za Siri Sawa lakini eleweni kuwa haitasaidia Jambo LOLOTE lile.

Acha nipumzike SASA.

Robert Heriel,
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa Makanya, Same, Kilimanjaro.
Amekufa yeye...matendo yake yanaishi!
 
Ila we jamaa unajizima data kabisa, mambo yote hayo kumi aliyokuorodheshea yanaendelea kuwa funzo hadi muda huu halafu wewe unajifanya hauoni, eti uoneshwe! Aliyekufa kafa Matendo yake Ndiyo barua yake kwa waliobaki acha watu waseme.

Ni kweli tumejifunza mengi kwa kuendelea kusikia Matendo ya Magu kama aliyekuwa Rais. Na hayo kumi uliyoorodheshewa ni sahihi na mengine mengi.
Kuorodhesha ni jambo rahisi tu ila kuweka mifano halisi kwenye ndio shida, tusilazimishe kwamba kwa sasa hivi mambo yapo sawa hakuna tatizo kisa Magufuli hayupo ambaye tuliona mbaya.

Tunatakiwa tusonge mbele sio kufanya kinyume na Magufuli, yani Magufuli alizuia mikutano ya kisiasa kinyume cha sheria halafu anakuja Samia nae anaruhusu kwa sura ya kama hisani tu tena baada ya kuombwa kwa muda mrefu, halafu wenyewe tunapongezena tunaona kumefanyika mabadiliko kwamba et Magufuli alizuia yeye Samia karuhusu.
 
Sasa si una hasira nae kwa aliyoyafanya nenda ukaongeze kuni ili achomeke vizuri zaidi kuliko kukaa hapa na stress zinazokufanya kumsema kila muda.

Utaona namtetea kwa sababu wewe mwenye hasira nae kutwa unamtaja ila kama ungekuwa humtaji unadhani nami ungeona namtetea? Ila cha kusikitisha wewe hauwezi kuacha kumtaja maana amekutenda kwa namna moja ama nyengine ndio maana una hasira nae.
Mfuate tu ukamsaidie kibano. Nyie mnaofungua nyuzi za kumtukuza huyu mwovu ndiyo mnafungua mlango wa wale aliowatendea maovu wamsimange. Mnaona mnafanya wema kumbe mnazidi kuleta simanzi kwa familia yake. Huyu mtu ameumiza wengi hivyo mahali popote akitajwa lazima wahanga wake watoe nyongo zao. Na ukiangalia wanaoongoza kuanzisha nyuzi za huyu mwovu ni wapambe wake. Kaeni kimya muone kama kuna mhanga ataanzisha habari zake. Hamuitendei haki familia yake. Mlishamsifia sana akiwa hai kwa sasa mpotezeeni aendelee kuumizwa taratibu huko kuzimu.
 
Wa kumfuata ni wewe mwenye hasira nae sio mimi, we ushaona mie nafungua uzi humu kumsema au kumsifia Magufuli?

Hizo hasira zenu kwa marehemu ndio mnajikuta tu mnaropoka tu, mtu kama Zitto Kabwe nae alitamka kama hivyo ila siku moja anahojiwa anaulizwa kuhusu ile kauli yake ya kwamba wanaompenda Magufuli wakazikwe nae akakataa kuizungumzia na kukiri ilikuwa hasira tu.
Hata kama hufungui uzi humu wewe ndiye unaongoza kumtetea DIKTETA muuaji.

Halafu usituulize kuhusu waliouliwa na Marais wa zamani, siyo kazi yetu. Sisi tuna deal na magufuli tu kwa kuwa yeye alikuwa ni zaidi ya Iddi Amini
 
Mfuate tu ukamsaidie kibano. Nyie mnaofungua nyuzi za kumtukuza huyu mwovu ndiyo mnafungua mlango wa wale aliowatendea maovu wamsimange. Mnaona mnafanya wema kumbe mnazidi kuleta simanzi kwa familia yake. Huyu mtu ameumiza wengi hivyo mahali popote akitajwa lazima wahanga wake watoe nyongo zao. Na ukiangalia wanaoongoza kuanzisha nyuzi za huyu mwovu ni wapambe wake. Kaeni kimya muone kama kuna mhanga ataanzisha habari zake. Hamuitendei haki familia yake. Mlishamsifia sana akiwa hai kwa sasa mpotezeeni aendelee kuumizwa taratibu huko kuzimu.
Ndio unazidi kuthibitisha kuwa kumbe kweli mkiona Magufuli anasifiwa mnachukia hivyo mnapandwa na hasira na kuanza kumshambulia marehemu ili kuwaudhi wenye kumsifia Magufuli, sasa hapa mkuu mnaoumia ni nyie maana ndio wenye hasira wenyewe mnasema ni wahanga.

Kwamba kwa Mzee makamba kusema Magufuli ni mtu mbaya Kikwete ni mtu mwema ndio maana yupo hai hajafa (Nyerere,Mkapa,Magufuli ni waovu ndio maana wamekufa) ni kutokana na wanaomsifu Magufuli ndio wa kulaumiwa?
 
Hata kama hufungui uzi humu wewe ndiye unaongoza kumtetea DIKTETA muuaji.

Halafu usituulize kuhusu waliouliwa na Marais wa zamani, siyo kazi yetu. Sisi tuna deal na magufuli tu kwa kuwa yeye alikuwa ni zaidi ya Iddi Amini
Lazima uone namtetea si kwa sababu mnataka watu wote wamchukie Magufuli hivyo wasiomchukia mnaona sio wenzenu hivyo wanamtetea.

Lazima usitake kusikia maovu ya marais wengine kwa sababu tatizo lenu sio maovu bali tatizo lenu ni Magufuli ambaye ndio mnaemchukia hivyo ni suala la chuki tu hapa.
 
Magufuli alikuwa ni shetani mwenye hicho moja. Muangalie hapa kwenye mawe anafanya nini?
Screenshot_20230201-132543.png
 
Ndio unazidi kuthibitisha kuwa kumbe kweli mkiona Magufuli anasifiwa mnachukia hivyo mnapandwa na hasira na kuanza kumshambulia marehemu ili kuwaudhi wenye kumsifia Magufuli, sasa hapa mkuu mnaoumia ni nyie maana ndio wenye hasira wenyewe mnasema ni wahanga.

Kwamba kwa Mzee makamba kusema Magufuli ni mtu mbaya Kikwete ni mtu mwema ndio maana yupo hai hajafa (Nyerere,Mkapa,Magufuli ni waovu ndio maana wamekufa) ni kutokana na wanaomsifu Magufuli ndio wa kulaumiwa?
Mwovu anaokwa kama ndafu
 
Kuna mmoja akiona kaboronga kuongoza serikali anaenda kubumba skendo na kumrushia Hayati,wapinzani vichwa panzi wanaidaka hoja na kuitumia kama silaha yao

Wanaiba hela za kutosha kisha wanaibuka kumsingizia Magu alificha china
Tunaongozwa na mpuuzi asiyejua lolote ndiomaana wanaomuzunguka wanafanya wayatakaoyo, mtu alikuwa msambaza chai maofisini ataweza nini kwenye nafasi kubwa kama hiyo?
 
Back
Top Bottom