kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Ujamaa wa mchongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kwa uhakika zaidi hata uchumi sijasoma hata kidogo ukiacha hata book keeping na commerce!Uliyemjibu swali ni mimi, usisahau hilo.
Hiyo niliyoiita 'jargon' ni kwa maksudi tu kama 'derogatory', wala usidhani sikujuwa ulichomaanisha.
Hata hivyo, naona maana iliyokusudiwa katika jibu langu hukuipata sawia, lakini hilo si neno.
Nashukuru kwamba wewe na Mwigulu hamna uhusiano kama ulivyoelezea hapo; lakini naona mko kwenye fani moja.
Kwa hiyo pengine mfanano huu mnauokota huko huko darasani kwenu mnakopitia.
Basi na yaishe mkuu 'Dolphin T'Na kwa uhakika zaidi hata uchumi sijasoma hata kidogo ukiacha hata book keeping na commerce!
Niko tofauti kabisa na nasisitiza na kumuomba Tena punguza kulazimisha kuwa Nina uhusiano na Huyo mtu!
Watu wa caliber ya Bwana Mipango na Fedha Ni ya kuogopwa kabisa katika jamii iliyostaarabika. Ndio maana hata Leo madam speaker ameamua kwa lazima kuelezea kwamba kuhamisha goli na kujadili Mambo binafsi badala ya hoja sio kitu kizuri na inaoaswa kuachwa Mara moja.
Mkuu maandishi yanadumu milele nakuomba Sana Sana !
Asante Sana nimepatwa na Taharuki sio msongo wa mawazo! Msongo wa mawazo Ni hatari sanaBasi na yaishe mkuu 'Dolphin T'
Kunradhi, haikuwa nia yangu kukupa msongo wa mawazo juu ya jambo hili.
Ukubwa wa wa mashamba siyo tija.Tanzania chini ya CCM imeshindwa kabisa kukibadilisha kilimo cha wananchi wake. Nakiri kusema toka imepata uhuru wake mwaka 1961 imekuwa na wakulima wadogo wadogo wanaolima kwa kutumia jembe la mkono na mbolea ya kubahatisha miaka yote mpaka leo 2023.
Kilimo hicho ni kigumu sana kwani kinategemea mvua ambazo hazina uhakika. Mavuno ya kilimo hicho ni duni sana kiasi ambacho nguvu kubwa inatumika lakini mavuno hafifu na ndio maana watu wengi wanakimbia kilimo.
Tanzania kama tunataka tuondokane na bei ya vyakula kupanda ni lazima tubadili kilimo chetu tunatakiwa tufanye uwekezaji mkubwa kwenye kilimo. Kilimo kiwe cha kibiashara na cha zana za kisasa kama vile matrekta n.K. Badala ya majembe ya mikono.
Bila kufanya hivyo tutakuwa tunadanganyana tunaimba wimbo na kwa sasa kilimo chetu siyo tena uti wa mgongo tena.