Kuendelea kutegemea wakulima wadogo wenye jembe la mkono, mfumuko wa bei ya vyakula hautashuka kamwe CCM imeshindwa kubadili kilimo chetu kwa miaka 61

Na kwa uhakika zaidi hata uchumi sijasoma hata kidogo ukiacha hata book keeping na commerce!

Niko tofauti kabisa na nasisitiza na kumuomba Tena punguza kulazimisha kuwa Nina uhusiano na Huyo mtu!

Watu wa caliber ya Bwana Mipango na Fedha Ni ya kuogopwa kabisa katika jamii iliyostaarabika. Ndio maana hata Leo madam speaker ameamua kwa lazima kuelezea kwamba kuhamisha goli na kujadili Mambo binafsi badala ya hoja sio kitu kizuri na inaoaswa kuachwa Mara moja.

Mkuu maandishi yanadumu milele nakuomba Sana Sana !
 
Basi na yaishe mkuu 'Dolphin T'

Kunradhi, haikuwa nia yangu kukupa msongo wa mawazo juu ya jambo hili.
 
Ukubwa wa wa mashamba siyo tija.

Wawekezaji siyo wa kutafuta Tanzania.
Tatizo kilimo kiliwekwa nje ya biashara.

Kilimo kingepewa hadhi ya biashara kingekua na kuboreka chenyewe.

NI TATIZO SANA ,
KULIMA SHAMBA KUBWA SANA
HALAFU KITAALAMU SANA,
HALAFU UKAVUNA SANA,
HALAFU UNAKUWA KWENYE SOKO FINYU SANA,
HALAFU UNAWAZA PA KWENDA KUTUPA MAZAO.

KABLA YA KULIMA CHOCHOTE KAMA HUJUI MAZAO UTAUZA WAPI , NA KWA FAIDA;
BASI KAMA NI GARI
UNAENDESHA,
UKIDHANI UNATUMIA GIA YA KWENDA MBELE,
JUA KUWA UMEINGIZA GIA ( R)
WARUDI NYUMA.
KILIMO KIWE BIASHARA.
NANI anaikumbuka GAPEX ? MUULIZENI METL (MO)
UNAPOKUWA ASALI?
PA KUUZA NI KULE,
UNALIMA ILIKI
SOKO LIKO HUKU
NK,NK,
SASA YAKHE WALIMA MAHINDI WATAKA UKAUZE KENYA?
MAHINDI YAKO FUGIA NG'OMBE MILIONI TANO HALAFU MAZIWA NA NYAMA KAUZE ULAYA NK.
MUIGENI ASASI.
NB UKUBWA WA MASHAMBA NA MATREKTA SIYO TIJA ,
TIJA UNACHOZALISHA
KINA MWISHO MWEMA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…