PostGE2025 Kuendelea kutoa ufafanuzi ni kutukana ufahamu wetu wananchi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Ukisha toa Ripoti na Kuikabidhi na kutuambia kwa mwenye Ripoti na kutueleza kuwa tunyamaze haituhusu hautakiwi kuja kutupa ufafanuzi.

Peleka ufafanuzi ulikokabidhi ripoti unatufafanulia nini wakati ripoti yote unayo wewe mwenyewe? Unafafanua nini katika jambo ambalo kila kitu unacho wewe mwenyewe? au ni ufafanuzi wa Ufafanuzi?

Hii ripoti siyo yetu na haituhusu kama Umma . Sisi siyo wajinga kukaa kimya tunafahamu na tuna akili pia kujua na kupima.Acheni kutukosea adabu. INA HITAJIKA TUME HURU INAYO KUBALIKA NA KUAMINIWA NA WOTE

Ukweli,Haki na Uwajibikaji ndiyo namna pekee ya kuliponya Taifa.

BAK MWABUKUSI.
 
Chande anatoa ripoti anarudi tena kutetea. Hiyo ripoti ingekuwa ya maana kama hata ingesema hao mia tano waliouawa wamefukiwa wapi ndugu zao wakawafukue wawazike kibinadamu. Hayo mambo mengine anayosema Chande ni kuhalalisha ufisadi wa kutafuna posho kwa mambo yasiyo na maana. Halafu mzee mzima kuwa laghai haifai.
 
Ukipewa nafasi ya Chande halafu unaambiwa fata masharti yetu na tunakupatia billion 1 kwenye account yako.

Au toa ripoti ya kweli na hatukupi hata jero unafikiri utafanya nini?. Kabla hujatoa uamuzi fikiria kilichomfika Tundu Lissu na wananchi walivyo msahau kama hawajui kinacho msibu kule.
 
Hakuna maelekezo yoyote vitu vipo wazi naye ni sehemu ya maelekezo.

Hii Nchi haijafikia kiasi hicho cha kuwa na maelekezo..Yani mtoa maelekezo akawe na maelekezo?

Ngoma wanacheza wahusika na wapiga ni wahusika.

Tumeelewa wake wale maisha..hakuna haja ya kuwa na wasi ..walaji ni wachache hawahitaji nguvu kubwa sana na kupoteza pesa
 
Ikiwa hao wazee Ibrahim Juma, Othman Chande (na wenzao)wanakuwa ni wazazi au watu wa ukoo wako ni aibu sana kujitambulisha mbele za watu kwamba wanakuhusu kidugu.Damn shame!
 
Ukipewa nafasi ya Chande halafu unaambiwa fata masharti yetu na tunakupatia billion 1 kwenye account yako.

Au toa ripoti ya kweli na hatukupi hata jero unafikiri utafanya nini?. Kabla hujatoa uamuzi fikiria kilichomfika Tundu Lissu na wananchi walivyo msahau kama hawajui kinacho msibu kule.
Lissu nani kasema kasahaulika?
 
Ukisha toa Ripoti na Kuikabidhi na kutuambia kwa mwenye Ripoti na kutueleza kuwa tunyamaze haituhusu hautakiwi kuja kutupa ufafanuzi.

Peleka ufafanuzi ulikokabidhi ripoti unatufafanulia nini wakati ripoti yote unayo wewe mwenyewe? Unafafanua nini katika jambo ambalo kila kitu unacho wewe mwenyewe? au ni ufafanuzi wa Ufafanuzi?

Hii ripoti siyo yetu na haituhusu kama Umma . Sisi siyo wajinga kukaa kimya tunafahamu na tuna akili pia kujua na kupima.Acheni kutukosea adabu. INA HITAJIKA TUME HURU INAYO KUBALIKA NA KUAMINIWA NA WOTE

Ukweli,Haki na Uwajibikaji ndiyo namna pekee ya kuliponya Taifa.

BAK MWABUKUSI.
Wanajishtukia. Kuongea uongo ni kazi, maana itabidi uongeee ongee sana ili kuufunika uongo uonekane kama ukweli.
 
Ulitaka wakitaje wewe kama muhusika wa vurugu?

Mchecheto wa nini? Si ndio utawala bora

Maana hata wangewataja kwa kuingia kwenye mkenge wenu mngetafuta mahali pengine pa kuzodoa
 
Back
Top Bottom