Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Chande anatoa ripoti anarudi tena kutetea. Hiyo ripoti ingekuwa ya maana kama hata ingesema hao mia tano waliouawa wamefukiwa wapi ndugu zao wakawafukue wawazike kibinadamu. Hayo mambo mengine anayosema Chande ni kuhalalisha ufisadi wa kutafuna posho kwa mambo yasiyo na maana. Halafu mzee mzima kuwa laghai haifai.Ukisha toa Ripoti na Kuikabidhi na kutuambia kwa mwenye Ripoti na kutueleza kuwa tunyamaze haituhusu hautakiwi kuja kutupa ufafanuzi.
Peleka ufafanuzi ulikokabidhi ripoti unatufafanulia nini wakati ripoti yote unayo wewe mwenyewe? Unafafanua nini katika jambo ambalo kila kitu unacho wewe mwenyewe? au ni ufafanuzi wa Ufafanuzi?
Hii ripoti siyo yetu na haituhusu kama Umma . Sisi siyo wajinga kukaa kimya tunafahamu na tuna akili pia kujua na kupima.Acheni kutukosea adabu. INA HITAJIKA TUME HURU INAYO KUBALIKA NA KUAMINIWA NA WOTE
Ukweli,Haki na Uwajibikaji ndiyo namna pekee ya kuliponya Taifa.
BAK MWABUKUSI.
Hakuna maelekezo yoyote vitu vipo wazi naye ni sehemu ya maelekezo.Ukipewa nafasi ya Chande halafu unaambiwa fata masharti yetu na tunakupatia billion 1 kwenye account yako.
Au toa ripoti ya kweli na hatukupi hata jero unafikiri utafanya nini?. Kabla hujatoa uamuzi fikiria kilichomfika Tundu Lissu na wananchi walivyo msahau kama hawajui kinacho msibu kule.
Lissu nani kasema kasahaulika?Ukipewa nafasi ya Chande halafu unaambiwa fata masharti yetu na tunakupatia billion 1 kwenye account yako.
Au toa ripoti ya kweli na hatukupi hata jero unafikiri utafanya nini?. Kabla hujatoa uamuzi fikiria kilichomfika Tundu Lissu na wananchi walivyo msahau kama hawajui kinacho msibu kule.
Wanajishtukia. Kuongea uongo ni kazi, maana itabidi uongeee ongee sana ili kuufunika uongo uonekane kama ukweli.Ukisha toa Ripoti na Kuikabidhi na kutuambia kwa mwenye Ripoti na kutueleza kuwa tunyamaze haituhusu hautakiwi kuja kutupa ufafanuzi.