Kuendesha Familia kwa Mkopo

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
4,869
Reaction score
13,137
Mwanaume Mateso mwezi wa 8 huu sijaitia machoni ATM card yangu ipo kwa mkopeshaji nilikopa laki mbili kwa riba ya elfu sitini sijafanikiwa kulipa deni nalipa riba ya elfu sitini kila mwezi. Huku kunaitwa kuishi kwa hasara.
Salary 250000 per month
Matumizi
Rent 40,000
Food 100,000
Electricity 5000
Transportation 30,000
Emergency inaweza kuzidi kipato
Other expenses 50,000
Loans 100000
Total 320,000
320,000-250,000=70,000
Sasa kwa maisha haya nguvu za kiume zitapatikana wapi? Zaidi ya kwa mganga.
 
Heheheheeeeee......maisha ya watz wengi tunafanana tu mkuu...usijipe mawazo et kisa hilo deni coz utaleta matatzo makubwa ikiwemo magonjwa ya moyo,nguvu za kiume kupungua n.k.....ishi tu kwa furaha na hcho hcho kidogo,......usifikir cc mambo n murua,baba jesca katunyoosha sawasawa
 
Usikope kwa riba mungu hapendi hzo majambo .....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…