Kuendesha gari kwa mkono mmoja

Mimi pia nishazoea na hua nakua comfortable kudrive kwa mkono mmoja yaani nikishika uskani kwa mikono miwili najikuta kwenye service road
 
Sawa nakubali hongera ww unaemiliki gari kubwa na zuri ipo siku tutaongea lugha moja

Relax mkuu. Ucheshi tu huo ili tutabasamu na kusogeza masaa hapa kilinge cha JF.

Wabongo na baby walker za mjapan ni damu damu. Coz uchumi unakaba. Sailing on the same boat mkuu
 
Personally nilifundishwa na nikaambiwa kua kuendesha automatic car kwa mguu mmoja ndio big deal ila nilivoingia road nikajaribu kitumia miguu yote yaan let kwenye brake na right kwenye accelerator.... nilikuja kuona naenjoy zaidi kuendesha kwa miguu yote na nakua more active plus unmeasurable comfortability.
 
Hata mimi ile baiskeli yangu ya Kuchaji huwa natumia mkono mmoja tu muda mwingine naachia kabsa[emoji2211][emoji2211]
 
Ya Paula ni 2015 hyundai elantra na 2010 Volkswagen. Hizi bado si mikono miwili?
Unapenda kuniumbua. Sasa ole wako ukipitishe ki Hyundai chako mitaa ya Bunju. Ntakigonga na trekta langu nikiwa napiga reverse... ndo utajua kwanini maharage ni kiungo cha makande
 
Unapenda kuniumbua. Sasa ole wako ukipitishe ki Hyundai chako mitaa ya Bunju. Ntakigonga na trekta langu nikiwa napiga reverse... ndo utajua kwanini maharage ni kiungo cha makande
Nimecheka sana mimi.
Kwani Tractor linaruhusiwa kupita barabara moja ni "magari"? .
 
Hii Old Skuli ngoja nayo nianze kuiendesha kwa mguu mmoja.

Ntakesha arifu.
 

Attachments

  • Screenshot_2020-08-20-09-53-34-1.jpg
    72.7 KB · Views: 3
Kuendesha na mkono mmoja ni kujifanya unajua sana au? Ukila mzinga utashikilia kwa mikono miwili kwa makini.
 
😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…