Kuendesha gari ni ngumu?

Benevento

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2019
Posts
4,982
Reaction score
29,537
Wana MMU nataka kwenda kosoma driving one month. Je kurndesha gari ni kitu kigumu?

Na je mitihani ya huko ni migumu? Maana wakati naenda kujiunga nilikuta watubwanafanya mtihani na kama mnavyojua kwenye vyumba vya mtihani mara nikasikia we mzee toka apo njoo kaa hapa mara wewe kijana wewe. Inamaana hiyo mitihani ni migumu kiasi cha watu kuibia?

Maoni yenu muhimu
 
kuendesha gari kumeanza lini kuwa kugumu? ingekuwa ngumu kungekuwa na madereva wengi wanaondesha magari huko barabarani? come on
 
Ni Rahisi sana mkuu.

Vipi unataka usomee udereva kama fani au uendeshe gari lako

Siyakukothamela Sonini na nini
 
Kuendesha gari ni rahisi kuliko kuendesha baiskeli
 
Kuna waendesha gari wale wa MUNUAL, na pia Kuna waongoza magari wale madere wa Auto , uwezi jita Dereva wakati hata nje ya mkoa wako ujawahi kutoka na gari ukiwa una drive wewe.
 
We nenda utajua huko huko
 
NI KWELI KUENDESHA GARI NI NGUMU ILA KULIPELEKA GARI NI RAHISI SANA NDIO MAANA UTAKUTA WAPO MADEREVA WENGI WANAOPELEKA GARI BILA UANGALIVU NA HAWAFUATI SHERIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…